Kutembea na Mpezi wa jirani unapoishi, ni sawa na Gereza la Mapenzi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Salaam wakuu,

Kama unanua hutakia kuoa au kuishi na mtu kinapenzi, basi acha kutolea udenda Majirani zako.

Kutembea na Jirani yako ni sawa na kujiingiza mwenyewe Korokoroni,bora uoe tu.

Kama una mpenzi jirani, usiseme upo single, sema unafamilia.

Kama unajijua hujatulia, basi kila siku utakua unafumaniwa na hata ukimwambia akuache hatakuacha. Ugomvi kila siku. Nlipokuwa Mwanza, demu wangu alikua Songea. Sasa nipo Arusha na mke wangu mtarajiwa yupo Lindi. Anafundishwa kukata mauno. Hadi nioe kashaiva tayari kwa kutandika Kitanda mara tatu kwa usiku mmoja.

Acha kujinyima raha.
 
Wanakubaka km ukijitia kauzu. Utamfanya tu utake usitake na ole wako umtangazie. labda uhame bila kutaka tena hama yenyewe utoroke usiku.asijue hpn chezea penzi la jirani wewe
 
Hivi unaanzaje kuwa na mpenzi wa jirani??
Nadhan hujamwelewa.

Bila shaka
Mtoa mada kamaanisha mpenzi mnayeishi jirani na wewe ulipo
(nyumba zimepakana, au vyumba vimepakana)

Na sio kutembea na mpenzi wa JIRANI yako.
 
Salaam wakuu,

Kama unanua hutakia kuoa au kuishi na mtu kinapenzi, basi acha kutolea udenda Majirani zako.

Kutembea na Jirani yako ni sawa na kujiingiza mwenyewe Korokoroni,bora uoe tu.

Kama una mpenzi jirani, usiseme upo single, sema unafamilia.

Kama unajijua hujatulia, basi kila siku utakua unafumaniwa na hata ukimwambia akuache hatakuacha. Ugomvi kila siku. Nlipokuwa Mwanza, demu wangu alikua Songea. Sasa nipo Arusha na mke wangu mtarajiwa yupo Lindi. Anafundishwa kukata mauno. Hadi nioe kashaiva tayari kwa kutandika Kitanda mara tatu kwa usiku mmoja.

Acha kujinyima raha.
Wewe unafundishwa wapi kukata mauno ?
 
Mke wa jirani...
Mpenzi wa jirani...
Watu mna mioyo na mna digrii za kuishi lwa wasiwasi...
 
Aisee mbona mnataka kunikatisha tamaa hivi, mi nipo namlia timing jirani yangu hapa naona yupo vizuri sana, ila sio mke wa mtu wala, mpenzi wa mtu, ila msisahau mimi nimeoa🤪🤦🏃🏃
 
Aisee mbona mnataka kunikatisha tamaa hivi, mi nipo namlia timing jirani yangu hapa naona yupo vizuri sana, ila sio mke wa mtu wala, mpenzi wa mtu, ila msisahau mimi nimeoa
Daah hayo mapenzi mabaya sana kia siku mtakuwa mnagombana,mtakuwa mnafuatiliana hovyo,alafu kibaya kuachana hamuwezi
 
Unalosema nikweli Mimi juzi kati nilimnunulia kaurembo Fulani hv kumbe mama yake nae kaona ikabid niambiwe na yeye anataka basi kila nachokifanya kama vile umewekewa recoder
 
Back
Top Bottom