Mabinti wa kazi ni rahisi sana kushika mimba

darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
1,338
2,000
Moja kwa moja kwenye mada nisiwachoshe ndugu zangu wa JamiiForums.

Nimekuwa nikisoma mara kadhaa humu kuwa hawa mabinti wanaotusaidia kazi nyumbani mayai yao yapo karibu sana yani ukigusa tu imoo.

Basi na mimi leo naleta ushuhuda kuwa ni kweli hawa mabinti suala la kushika mimba ni sawa na kumsukuma mlevi tu.

Wakuu nimetembea na binti wa kazi na sasa hivi ana mimba ya wiki kadhaa, wife kwa sasa hatuishi pamoja yupo masomoni.

Ndio hivyo tu wakuu.
 

darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
1,338
2,000
mabinti wa kazi hao inawezekana sio yako
Hilo nalo neno mkuu na hapa ndio pananipa utata hawa viumbe wana siri nyingi unaweza kukuta anamuhudumi baba, mtoto, dereva na mlinzi kwa nyakati tofauti bila nyie kujuana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom