Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,417
Iko hivi KOP...
Kuna jamaa yangu huyu ana maisha ya ngono hasaa..
Kunywa pombe na kula papuchi alianza tokea A'Level..
Yaani wauza maandazi wote wa canteen aliwala hao O'Level ndio balaa alikula sanaa bikra huyu mwamba...
Miaka ikapita tukakutana tena Mbeya kwenye haraka za utafutaji.
Nilimtafutia gheto karibu na nilipopanga..
Baada ya mwezi tuu mwamba alijua K za wanawake wengii wa Mbeya Carnival, Kabwe, Isanga, Uyole na kila kona ya starehe Mbeya.
Yaani nilikua na kazi ya kuita Wanyakyusa na wasafa bila kusahau wanyia na wanyamwanga Shemeji..
Mwamba gheto lilikua Zahanati ya kutibu nyeg*
Mwamba alishawahi kufukuzwa nyumba mbili kisa kula wake za watu then wale wake wakaanzisha bifu wao kwa wao.
Yaani mkiwa mnatembea utasikia "Yule nimemla, yule nishafunua ...!!!""
Kuna kipindi nilishawahi kumuacha gheto baada ya kufukuzwa nyumba aliyopanga, baada ya wiki mwenye nyumba alinipigia simu akiomba nimtoe huyu jamaa kwangu maana anawafundisha wanae mchezo mchafu..!!
Baada ya kuuliza nikaambiwa ""Alikua akilala na mwanamke mmoja mchana akitoka kumsindikiza huyu usiku anarudi na mwengine.!!""
Sasa bana....
Oct/2019 alinifata "Mr. Liverpool kwanza nataka kuacha pombe na nataka kuoa""
Nikahisi anazingua huyu jamaa..
Nikawa naona mabadiliko..
1. Akawa anapunguza idadi ya bia (akinywa mbili inatosha)
Mara akawa anakunywa kwa wiki Mara moja...!!!
2. Mara akaja kuniambia "nimepata muhaya tena bikra nimetoa Mimi nataka kumuoa""
3. Mara Niki mpigia simu "Naenda church man..!!""
Duh nikaamini kweli MWANAMKE ANA NGUVU KUBWA SANAA..
Kambadilisha mwamba TOTALY hivii...!!!
Jana alinitafuta akanipa hii statement..
"Kwa maisha niliyoishi na kwa wanawake niliolala nao ETI NIMEPIMA MARA 9 (kila mwezi Mara 3) MAJIBU YAMETOKA NIKO SAFI..!! Mr. Liverpool UKIMWI HAUPO na KAMA UPO basi UNAUBAGUZI""
Yaani kwa maisha ya huyu mwamba Ukimwi ulikua uwe rafiki yake mpendwa cha ajabu kwa miaka yoote zaidi ya 21 aliyo chakata papuchi HANA UKIMWI na HAJAWAHI PATA UGONJWA WOWOTE WA NGONO""
Zaidi ya yotee maisha yamemzawadia MKE BIKRA..!!!
Yaani hapa tumetoka kulipa mahali ya mtoto wa kihaya bukobaaa mwezi ujao tunakula ubwabwa..!!!
Dunia hii...
Kweli HAINA HAKI.
We na ulokole wako siku ukijaribu tu UKIMWI HUOOO ila mwamba katafuna hasa, sidhani kama kuna papuchi HAIJUI...!!!
#YNWA
#TAKE_CARE
Sent using Jamii Forums mobile app