Binti wa namna hii unamfanyaje?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,185
Habari wanaJamiiForums

Niende kwenye mada. Kuna binti mmoja ambaye nimemtongoza yapata miezi 5 iliyopita, japokuwa alikuwa ananisumbua kidogo jinsi ya kumpata ilibidi nitumie pesa kiasi hapo ndipo alipoanza kulainika na nikamtia mikononi mwangu.

Sasa nimeishi naye yapata miezi 5 bila ya kumuomba mechi ila niliendelea kumuhudumia kama kawaida kwa mahitaji yake. Sasa Jumamosi iliyopita nikatoka naye nje ya mji kidogo kwa matembezi ya hapa na pale, wakati tupo maeneo nikaanza kwa kumchokoza anipe ROMANCE.

Huwezi kuamini binti aliniruka kwa kuniambia hawezi kunipa romance mpaka tukapime kwanza kwa kuwa haamini mtu, nilijitahidi kumbembeleza lakini wapi alinikatalia katakata kunipa romance wala kuutoa mwili wake mpaka tukapime. Tulibishana ikafika muda kila mtu akashika njia yake kuelekea anakokujua yeye. Akaniambia kama sitaki kupima hanipi chochote kila mtu ashike njia zake.

Kinachoniuma amekula hela zangu nyingi halafu ananibania na sio kwamba naogopa kupima ila kwanini anipangie masharti yeye kama nani wakati hela hajawahi kuniambia sitaki nimpe mpaka tukifunga ndoa. Inaniuma sana.

Ushauri wenu wakuu, nifanyeje maana tukienda kupima ninaweza kwenda lakini nahofia siku nyingine atakuja na mada anayotaka yeye niitimize ili niweze kupata kitu fulani

Ahsanteni
 
Babu kapime bana ........unataka kuchovya na govi lako bila kipimo wewe vipi.....ujui kama anakuokoa mwenyewe kwanza.........na kingine ushabugi wewe kama ulitaka show game ....... ungekuwa unampa vitu vyako ukiwa uchi ili ajue kabisa dhamira yako sio umedilei mwenyewe unareta mbofu mbofu hapa........huyo sio mgeni wa kupigwa nao mwenyeji huyo ndio maana katika...........na ukiona hivyo yeye alisha liwa bure sana sasa kashtuka.......na ukipima kweli anakwambia subiri kwanza ndoa ipite.........hapo umekutana na jini.....kashalikwepa kojo lako masikini
 
inaniuma mkuuu acha tu
 
Kwanini Ufanye Uwekezaji Huku Ukijua Mradi Utaleta Hasara. Pesa Ulitoa Na Roho Inakuuma Kusawazisha Jambo Nenda Kapima Ndiyo Hayo MaombiYako Huenda Yakafanyiwa Kazi.

Umeshaliwa Pesa Huna Ujanjaujanja Tena
Fuata Masharti. Siku Zote Epuka Kutoa Pesa Haraka

Pesa Siyo Kama M*t*k* Kwamba Kila Mtu Anayo!!
Pesa Inatafutwa PesaNgumu Sasa Hivi
 
Kuna mtoa mada kauliza kupima Sh ngapi kapime muwe huru hakuamini huyoo na ni risk hata kwako unajuaje mzima.
 
Unajua nimechunguza kitu kimoja.

Sisi wanaume wengi wetu waoga sana kupima.

Ila mwanamke wala la kupima haogopi kabisa.

Nimekutana na wanawake wengi,sijawahi kukataliwa nikiomba tukapime.
Aisee, kuna mtu aliwahi kunikimbia jumla kisa nimetaja kupima
 
Back
Top Bottom