Mume wangu kaniacha kisa nimemtukania mama yake, nataka kujiua Nipeni ushauri

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,979
Nilijikuta tu si unajua mdomo kuteleza jamani

Mama mkwe kaja kanikuta nadeki bila hata kuomba dekio afute miguu

au hata avue viatu ndio aingie ndani, yeye akapita vile vile na maviatu yenye matope.

Namuuliza "mama mbona unachafua wakati unaona nadeki na hapajakauka"? akanijibu "ndio kazi yako"

Nilijikuta nimeropoka tusi moja zuri tuuuu, bahati nzuri akalisikia hilo tusi taarifa zikamfikia Mume wangu, aliporudi hakutaka Kujua nini

Alinifungashia kila kilicho changu na kuniambia nikatafute mume sehemu nyingine..

Nishaurini nifanyeje maana nataka kujiua mimi.....

71540483_151808096046913_6620014172984159379_n.jpg
 
We ni "ke kweli! mbona picha yako ni kidume,

Nipe namba yako ya whatsap tuongee kwenye video call. Ntakupa ushauri ambao utakutoa simanzi CONTROLA,
 
Najua kuna wakati mama wanakera kweli lakini kumtukana mama hata angekuwa mamako ningekutimua kwangu je itakuwaje akiwa Mamangu
 
Back
Top Bottom