Ukijua mke wako aliwahi toa ujauzito utafanyaje?

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,428
3,510
Imagine umekaa miaka miwili ndani ya ndoa lakini mkeo hajashika ujauzito, siku upo na simu ya mkeo inaingia meseji kutoka kwa mtoto wa dada yake mkeo " Bibi (mama mkubwa wa mkeo) amesema huwezi shika mimba sababu ukiwa shule uliwahi kutoa mimba hii mara ya pili ananiambia lakini nambishai mara ya kwanza nilijua ananitania".

Unamwambia mkeo akufafanulie meseji anasema huyo ma mkubwa hajawahi ishi naye alijuaje kuwa yeye amewahi toa mimba kwanza yeye hajawahi kushika mimba. nikamuuliza kwaiyo anajuaje kuwa wewe saizi hauna mimba manake bado hamjaonana, akasema hajui yule mama mkubwa ni kama mwanga ndio maana ndugu huwa wanamtenga hata kwetu hajawahi kuja toka tuko shule ya msingi walikosana na mama.

Pia, nakumbukua kuna picha fulani ya wife niliona facebook ilikuwa birthday yake akiwa chuo ni kama alikuwa mjamzito nilipomuuliza mbona hapa kama ulikuwa mjamzito akasema alinenenepa tu boom tamu tukacheka yakaisha, jana baada ya hiyo meseji nimesearch ile picha nimegundua alifuta ila kuna post fulani aliandika facebook anatamani kuwa na mtoto na yeye aitwe mama cha ajabu hiyo post ni ya mwaka huo huo wa ile picha hii hakufuta.

Sina mpango wa kuachana naye wala kukuza ugomvi kwa miaka miwili amekuwa akionana na mdokta mbalimbali lakini wanampa dawa anatumia bado hashiki ujauzito, hapa nishaurini nifanyaje manake kama naona hili jambo lina ukweli japo yeye anakataa huyo ex wake wa chuo namjua nafikiria kumuuliza pengine yeye ndio atasema ukweli, endapo atakuwa kweli alitoa ujauzito na hawezi kushika mimba nina option moja tu ya kuzaa nje ila kwa sasa nataka jua ukweli wa hili suala.
 
Mambo ya ndoa ni ya wanaume 🤣😂🤣! Wavulana sijui mnatafutaga Nini🤔!?
Awe alitoa au hakutoa inakuhusu Nini? Kwani ulimpa Mimba hizo weye?
Mkipima ikadhihirika Kuwa mwenye shida ni wenye unataka naye afanyeje🤔!?
Mtie moyo mkeo kabisa ili ajiamini na Wala asiwaze yalopita Bali mgange yaliyopo na yajayo! Kushuka Mimba siyo Jambo la kawaidakawaida tu🤔! Ukimpa ma'stress' ndo usahau kabisa kushika Mimba! Na ukimwacha tu utashangaa utakapokutana naye amevimbishwa na Kisha kuzaa!
Acha uvulana, Kuwa mwanaume kwa mkeo!
 
hebu kuwa na akiri kwaiyo hiyo mimba utashika wewe.
 
Imagine umekaa miaka miwili ndani ya ndoa lakini mkeo hajashika ujauzito, siku upo na simu ya mkeo inaingia meseji kutoka kwa mtoto wa dada yake mkeo " Bibi (mama mkubwa wa mkeo) amesema huwezi shika mimba sababu ukiwa shule uliwahi kutoa mimba hii mara ya pili ananiambia lakini nambishai mara ya kwanza nilijua ananitania".

Unamwambia mkeo akufafanulie meseji anasema huyo ma mkubwa hajawahi ishi naye alijuaje kuwa yeye amewahi toa mimba kwanza yeye hajawahi kushika mimba. nikamuuliza kwaiyo anajuaje kuwa wewe saizi hauna mimba manake bado hamjaonana, akasema hajui yule mama mkubwa ni kama mwanga ndio maana ndugu huwa wanamtenga hata kwetu hajawahi kuja toka tuko shule ya msingi walikosana na mama.

Pia, nakumbukua kuna picha fulani ya wife niliona facebook ilikuwa birthday yake akiwa chuo ni kama alikuwa mjamzito nilipomuuliza mbona hapa kama ulikuwa mjamzito akasema alinenenepa tu boom tamu tukacheka yakaisha, jana baada ya hiyo meseji nimesearch ile picha nimegundua alifuta ila kuna post fulani aliandika facebook anatamani kuwa na mtoto na yeye aitwe mama cha ajabu hiyo post ni ya mwaka huo huo wa ile picha hii hakufuta.

Sina mpango wa kuachana naye wala kukuza ugomvi kwa miaka miwili amekuwa akionana na mdokta mbalimbali lakini wanampa dawa anatumia bado hashiki ujauzito, hapa nishaurini nifanyaje manake kama naona hili jambo lina ukweli japo yeye anakataa huyo ex wake wa chuo namjua nafikiria kumuuliza pengine yeye ndio atasema ukweli, endapo atakuwa kweli alitoa ujauzito na hawezi kushika mimba nina option moja tu ya kuzaa nje ila kwa sasa nataka jua ukweli wa hili suala.

Usitafute kujua au kuchunguza, kaa na Mkeo mwombe Mungu, miujiza ipo, kama hauna huo uwezo we mwache tu Mtoto wa watu!

Kwa maelezo hayo hakika ame toa mimba, sasa unatafuta uthibitisho wa kujitesa wa nini?
 
hebu kuwa na akiri kwaiyo hiyo mimba utashika wewe.
Wavulana bana😂🤣😂!
Unanitolea povu la Nini Sasa!? Usifikiri watoto wanachukuliwa tu popote...eti nataka nitafute mchepuko anizalie🙉! Toa akili ya kivulana ndani ya ndoa! Kwanza hutakiwi kupaza sauti juu ya kutobeba Mimba kwa mkeo maana linaweza Kuwa tatizo unalo mwenyewe🙈🙈🙈! Na hata Kama lipo kwake mnaweza shirikiana kwa umoja wenu na upendo na maelewano mkafikia muafaka wa amani kabisa!? Eti nataka kumuuliza x wake historia ya mke wangu...ebo😡😠😡😠😡! Ili akueleze Nini kwa mfano🤔! Mvulana kwenye ndoa ni majanga makubwa sana I see! Men up weye mvulana😠!
Na nyie wanawake mkome kuolewa na wavulana badala ya wanaume 😠!
 
Mungu Ni mwingi wa rehma na mwenye huruma Sana... Mungu Ni msamehevu Sana. Aliyoyafanya huko nyuma iwe kweli iwe sikweli Wewe hayo hayakuhusu Wala hayatousaidia.

Tafuteni tiba kwa pamoja ...Kama unadhani Tatizo la kukosa mtoto Ni kuubwa Sana.. muachane kwa amani.

Ila mungu anatoa kwa waje wake wenye kumuomba na kusubiria
 
Wavulana bana😂🤣😂!
Unanitolea povu la Nini Sasa!? Usifikiri watoto wanachukuliwa tu popote...eti nataka nitafute mchepuko anizalie🙉! Toa akili ya kivulana ndani ya ndoa! Kwanza hutakiwi kupaza sauti juu ya kutobeba Mimba kwa mkeo maana linaweza Kuwa tatizo unalo mwenyewe🙈🙈🙈! Na hata Kama lipo kwake mnaweza shirikiana kwa umoja wenu na upendo na maelewano mkafikia muafaka wa amani kabisa!? Eti nataka kumuuliza x wake historia ya mke wangu...ebo😡😠😡😠😡! Ili akueleze Nini kwa mfano🤔! Mvulana kwenye ndoa ni majanga makubwa sana I see! Men up weye mvulana😠!
Na nyie wanawake mkome kuolewa na wavulana badala ya wanaume 😠!

Wabongo bana, nyie badala mmshauri mwenzenu yuko kwenye tension mnaanza kusema mambo ambayo hayaeleweki, hebu jaribu kuvaa viatu vyake uone ni jinsi gani anajisikia na ndo ishatokea sasa na ameoa. Tofauti ya uvulana na uanaume kwenye hii mada inahusiana vipi sasa, jitathimini.

Ni hivi, mkuu(mleta mada), kwanza pole sana kwa mkasa unaokusibu. Cha kufanya fanya uchunguzi taratibu na ujiandae kisaikolojia kuwa na moyo mgumu. Kisha ukishagundua kaa naye mweleze moja, mbili, tatu nimegundua na ushahidi huu hapa. Mwambie unataka umsaidie maana ndo ishatokea.

Baada ya hapo nendeni hospital kwa ushauri zaidi wa kidaktari na tiba. Akipona ni jambo la kumshukuru Mungu. Kama bado kaeni chini mfikirie mtafanyaje. Ila usichukue uamuzi mapema kiasi hicho wa kuzaa nje, akigundua anaweza akajidhuru.

Jaribu kuchunguza ukigundua kaa naye, mkimaliza nendeni hospitali. Mkumbuke pia kuomba toba kwa Mungu kama ni kweli alitoa mimba.
 
Brooo, MWANAUME....
1. Hatumii emoji nyingi hivi
2. Mwanaume hatumiagi hayo ma misemo ya povu, x = s, kwemdraa, p = poa.
3. Mwanaume hadharau wenzake na hasa mwanaume mwenzake.
#YNWA

Jinsi alivyocomment me nlifikiri ni dem kumbe wa kiume kabisa hlf anazingua namna hiyo.
 
Kama umeamua hautamwacha basi usichimbe kutaka kujua habari ya abortion! Wewe unaweza ukaamua mengineyo unayoyaona sahihi!
 
Ukweli mchungu ni kuwa 85% ya w/ke waliokuwa na mahusiano kabla ya ndoa wametoa mimba ila inatofautiana tu umri wa mimba husika.
Vinginevyo atafute tu bikra aoe mkuu.,
Ungemkuta na mtoto ungemlea?.
 
We tafuta mtoto wa nje mwambie kbs mkeo

Huyo alitoa mimba kipindi cha nyuma na ushaidi umepata

Hiyo ni gharama ya dhambi yake ya kutoa mimba na inalipwa kwa wewe kuwa na mtoto wa nje.

Ndoa ibaki km ilivyo
 
Back
Top Bottom