Kama kuna Mpemba humu...!!Acheni Ubaguzi Shenzi Nyie

Story iko hivi....!!ninapofanya biashara pako karibu na nyumba flani ya wapemba...!!

Kutokana na kuongea vizuri na watu na pia hasa kusikiliza shida za wateja basi nikazoeana na hiyo familia....lakni hasa nikazoeana sana na mtoto wao mmoja wa kike....!!

Yule msichana kiukweli ni mtafutaji pesa....hapo ndo tulipoanza kuelewana...!!tulipeana ideas...madili....na pia ushauri mara nyingi....!!nakiri kusema kuwa niliona anafaa kuwa mke maana niliona kila dalili ya mafanikio kama nikimuweka ndani(hili wazo nililifuta baada ya kufikiria masuala ya dini na 7b zngnezo japo kiukweli hata yeye alionyesha kuwa tyari)

Sasa mazoea yalizidi mpk akawa anakuja kushinda ofisin kwangu tunapiga story....mpk kuna baadh ya watu wakawa wanahic tupo pamoja

Sasa hivi juzi nimeona dada zake wote wamekuja....shangazam zke wote wamekuja...!!usiku akanambia kuwa amesemwa saana kuhusu mazoea yetu...!!wamemsema wote ndan kwao....!!alilia mno mpaka nkamuonea huruma na nimemshauri tu awasikilize na tuvunje mazoea na ndo tulichokifanya

Sasa hapo hayo yote wamemsema kwa kuangalia dini yangu n tofauti huku wakisahau kuwa baba wa huyo mtot n shoga na anainamishwa na mtaa mzima unajua hlo

Sasa nauliza huu muungano wanaousifia wakat ubaguzi huu unaendela una maana gan??

Na nyie wapemba mliop0 humu....mnatchukuliaje watu wa bara??....maan hata wapemba walokulia huku dsm hamtaki waoe kwenu

Sisemi uongo...ila nmetokea kuwachukia hawa watu
Sas hii ya baba yake wanamtafna umeiingiza ya nn
 
Hasira tu ndugu
Hasira za kijinga na za kitoto,halafu hata wewe ni mbaguzi coz umehukumu wapemba wote! umegeneralize,unadhani hasira zako ndio zitakusaidia kutatua hilo tatizo? huu muda ndio ulitakiwa uwe na busara zaidi na kutafuta suluhu kwa amani,hakuna linaloshindikana hapa duniani,

Kila kabila/jamii huwezi kukosa ubaguzi,uwe wa kipato,rangi na mengineyo,unatafuta huruma kwa kuanika sijui tabia za baba wa huyo mtoto! unadhani tabia za baba yake ndiozinajustify kwa wewe kukubalika? unaweza kua na hoja ila uwasilishaji wako ni wa kibaguzi na usiokua wa kimaadili.
 
Story iko hivi....!!ninapofanya biashara pako karibu na nyumba flani ya wapemba...!!

Kutokana na kuongea vizuri na watu na pia hasa kusikiliza shida za wateja basi nikazoeana na hiyo familia....lakni hasa nikazoeana sana na mtoto wao mmoja wa kike....!!

Yule msichana kiukweli ni mtafutaji pesa....hapo ndo tulipoanza kuelewana...!!tulipeana ideas...madili....na pia ushauri mara nyingi....!!nakiri kusema kuwa niliona anafaa kuwa mke maana niliona kila dalili ya mafanikio kama nikimuweka ndani(hili wazo nililifuta baada ya kufikiria masuala ya dini na 7b zngnezo japo kiukweli hata yeye alionyesha kuwa tyari)

Sasa mazoea yalizidi mpk akawa anakuja kushinda ofisin kwangu tunapiga story....mpk kuna baadh ya watu wakawa wanahic tupo pamoja

Sasa hivi juzi nimeona dada zake wote wamekuja....shangazam zke wote wamekuja...!!usiku akanambia kuwa amesemwa saana kuhusu mazoea yetu...!!wamemsema wote ndan kwao....!!alilia mno mpaka nkamuonea huruma na nimemshauri tu awasikilize na tuvunje mazoea na ndo tulichokifanya

Sasa hapo hayo yote wamemsema kwa kuangalia dini yangu n tofauti huku wakisahau kuwa baba wa huyo mtot n shoga na anainamishwa na mtaa mzima unajua hlo

Sasa nauliza huu muungano wanaousifia wakat ubaguzi huu unaendela una maana gan??

Na nyie wapemba mliop0 humu....mnatchukuliaje watu wa bara??....maan hata wapemba walokulia huku dsm hamtaki waoe kwenu

Sisemi uongo...ila nmetokea kuwachukia hawa watu
Umetumia hasira kali sana. Na kujikuta unamtukania baba yake.
But, Pole kwa yaliyotokea.

Tatizo ushoga wao sijui wanauchukuliaje na wanaona dini tofauti ndiyo ukafiri.
 
Story iko hivi....!!ninapofanya biashara pako karibu na nyumba flani ya wapemba...!!

Kutokana na kuongea vizuri na watu na pia hasa kusikiliza shida za wateja basi nikazoeana na hiyo familia....lakni hasa nikazoeana sana na mtoto wao mmoja wa kike....!!

Yule msichana kiukweli ni mtafutaji pesa....hapo ndo tulipoanza kuelewana...!!tulipeana ideas...madili....na pia ushauri mara nyingi....!!nakiri kusema kuwa niliona anafaa kuwa mke maana niliona kila dalili ya mafanikio kama nikimuweka ndani(hili wazo nililifuta baada ya kufikiria masuala ya dini na 7b zngnezo japo kiukweli hata yeye alionyesha kuwa tyari)

Sasa mazoea yalizidi mpk akawa anakuja kushinda ofisin kwangu tunapiga story....mpk kuna baadh ya watu wakawa wanahic tupo pamoja

Sasa hivi juzi nimeona dada zake wote wamekuja....shangazam zke wote wamekuja...!!usiku akanambia kuwa amesemwa saana kuhusu mazoea yetu...!!wamemsema wote ndan kwao....!!alilia mno mpaka nkamuonea huruma na nimemshauri tu awasikilize na tuvunje mazoea na ndo tulichokifanya

Sasa hapo hayo yote wamemsema kwa kuangalia dini yangu n tofauti huku wakisahau kuwa baba wa huyo mtot n shoga na anainamishwa na mtaa mzima unajua hlo

Sasa nauliza huu muungano wanaousifia wakat ubaguzi huu unaendela una maana gan??

Na nyie wapemba mliop0 humu....mnatchukuliaje watu wa bara??....maan hata wapemba walokulia huku dsm hamtaki waoe kwenu

Sisemi uongo...ila nmetokea kuwachukia hawa watu
Hiyo ishu ya baba yake sio ya kistaarabu kuiingiza katika mchakato wako,yani unataka upewe mke simply because baba ni shoga....ua losing ur focus
 
Unge sema baba ake ana busha.. nnge kuelewa wapemba kwa mabusha awajambo
 
Story iko hivi....!!ninapofanya biashara pako karibu na nyumba flani ya wapemba...!!

Kutokana na kuongea vizuri na watu na pia hasa kusikiliza shida za wateja basi nikazoeana na hiyo familia....lakni hasa nikazoeana sana na mtoto wao mmoja wa kike....!!

Yule msichana kiukweli ni mtafutaji pesa....hapo ndo tulipoanza kuelewana...!!tulipeana ideas...madili....na pia ushauri mara nyingi....!!nakiri kusema kuwa niliona anafaa kuwa mke maana niliona kila dalili ya mafanikio kama nikimuweka ndani(hili wazo nililifuta baada ya kufikiria masuala ya dini na 7b zngnezo japo kiukweli hata yeye alionyesha kuwa tyari)

Sasa mazoea yalizidi mpk akawa anakuja kushinda ofisin kwangu tunapiga story....mpk kuna baadh ya watu wakawa wanahic tupo pamoja

Sasa hivi juzi nimeona dada zake wote wamekuja....shangazam zke wote wamekuja...!!usiku akanambia kuwa amesemwa saana kuhusu mazoea yetu...!!wamemsema wote ndan kwao....!!alilia mno mpaka nkamuonea huruma na nimemshauri tu awasikilize na tuvunje mazoea na ndo tulichokifanya

Sasa hapo hayo yote wamemsema kwa kuangalia dini yangu n tofauti huku wakisahau kuwa baba wa huyo mtot n shoga na anainamishwa na mtaa mzima unajua hlo

Sasa nauliza huu muungano wanaousifia wakat ubaguzi huu unaendela una maana gan??

Na nyie wapemba mliop0 humu....mnatchukuliaje watu wa bara??....maan hata wapemba walokulia huku dsm hamtaki waoe kwenu

Sisemi uongo...ila nmetokea kuwachukia hawa watu
Yaani Nimesoma Huu Uzi Wako Nimegundua Kama Wewe Ndio Mbaguzi Kuliko Wapemba Wenyewe

Kwan Kuhusiana Na Suala La Dini Tofauti Wazazi Kukataa Ndoa Lime Anzia Kwawapemba Tuu

Na suala la ukabila halipo kwa wapemba tuuh

Na suala la baba ake kua shoga hili ndio limethibitisha kama ww jamaa hukustahili kuoa mke wakipemba

Wacha wakunyime 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom