Sijui nitaoa lini kwa maneno haya?

Sijui nitaoa lini kwa maneno haya?

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Kwa kauli hizi za machizi wa kitaa na marafiki

Kuhusu ndoa mbona itanichukua muda kuoa. Kwasababu wananiambia ndoa ni ngumu inakufanya uwe na stress inakuongezea majukumu mazito.

Uache uvulana wako na uwe mwanaume kamili. Na wakati huo wanasema usikurupuke wanawake wa mjini watakuponza hadi nachanganyikiwa.
[emoji848][emoji848]

Wengine wanasema subiri ukue akili ipanuke sasa ipanuke Mara ngapi na dunia yetu hii kila kitu wazi wazi?
 
Kuoa ni commitment tu, huwezi kuishi kwa kuangalia wengine wanafanyaje au wana matokeo gani huwezi sio mahusiano tu maisha yeyote yale. Fanya Maisha yao kua reference kwako kupata kilicho bora zaidi.
 
Kwanza umeandika kwa stress Sana.
Kwa ushauri usio na malipo, wewe tafuta wakumgegeeda tu afu sijui Kama unajijua una moyo mwepesi Sana.
 
Kwa kauli hizi za machizi wa kitaa na marafiki

Kuhusu ndoa mbona itanichukua muda kuoa. Kwasababu wananiambia ndoa ni ngumu inakufanya uwe na stress inakuongezea majukumu mazito.

Uache uvulana wako na uwe mwanaume kamili. Na wakati huo wanasema usikurupuke wanawake wa mjini watakuponza hadi nachanganyikiwa.
[emoji848][emoji848]

Wengine wanasema subiri ukue akili ipanuke sasa ipanuke Mara ngapi na dunia yetu hii kila kitu wazi wazi?
Muda ukifika utaoa tu
 
labda ww una umri gani tuanzie hapo..

isije ikawa ni 15yrs unawaza kuoa hapo lazima usielewe kitu ila kama ni 30+ swala la kuoa au kuolewa kwako si la kujiuliza tena ila kulifanyia maamuzi
 
Kijana kama unachanganyikiwa kwa maneno tu ya watu je ukivurugwa na msichana utakuwaje!
Hapo bado hujapelekeshwa na mwanamke.

Achana na habari za kuoa kwanza mpaka ukianza pewa mawazo na wanaume na sio na hao machizi wenzako.
[emoji23] [emoji23]
 
Kuoa ni commitment tu, huwezi kuishi kwa kuangalia wengine wanafanyaje au wana matokeo gani huwezi sio mahusiano tu maisha yeyote yale. Fanya Maisha yao kua reference kwako kupata kilicho bora zaidi.
sure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom