Kiukweli mwanamke huyu ni jasiri, ana roho ngumu

Kiukweli mwanamke huyu ni jasiri, ana roho ngumu

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,757
Twende straight kidogo, tuokoe mda.

Kiufupi nimemtongoza mfanyakazi wangu wa hapa dukani ninapouza vifaa vya ujenzi, yeye ndio anashughulikia mahesabu ya mauzo baada ya hapo ananiletea mimi nahakiki tuu, kwahiyo faida nnayoingiza na mauzo yote anayajua.

Huyu hajaolewa,lakini ana bwana.

Kanishangaza sana, week ya pili hii namtongoza ananiwekea ngumu, yani mwanamke una maisha ya kawaida unaanzaje kumkataa mwanaume anayeingiza zaidi ya faida 120,000 kwa siku na ugumu huu wa maisha?? Yani umepanga chumba kimoja wewe na bwana ako halafu unamkataa mtu anayeingiza mshahara wa Mwalimu ndani ya siku 4???! Ama hakika, anahitaji apewe tuzo ya ujasiri na uthubutu.

Labda atalainika, time will tell!! Hakuna mkate mgumu mbele ya tea.

Akiendelea hivi namuwekea kile kiwanja changu cha chanika mezani! Sikubaligi kushindwa, bora nimpe kiwanja akajenge na huyo bwanaake mimi nnachotaka ni tunda tuu kiukweli yupo vizuri sana.

Kumbe mda mwingne wanawake ambao hampendi pesa mpo.
 
Yaaap koma nae mpak kielewek.yaan kam upinzan wanavotak nchi toka 1995 mpak leo sasa wew ni nan ushindwe kukaza mkuu
 
Kama una familia kws maana ya mke na watoto lazima akutolee nje manake hutakuja kumwoa zaidi ya kumchezea binti wa watu. Ukiheshimiwa jiheshimu.Usitumie fimbo ya ubosi kumpotezea malengo binti wa watu.
Simpotezei, anaweza akawa mchepuko wa kudumu
 
Kuna udhaifu umeuonesha kabla haujaanza kumtongoza huyo mrembo,tena huo udhaifu ulionesha ndio silaha anayoitumia hadi sasa.Muhimu badilisha mbinu ya kivita jifanye hauna habari naye( japo najua hautaweza hili suala) kwa muda fulani,yaani jifanye umempotezea na upo serious na biashara!!
 
Back
Top Bottom