Kwenye mahusiano weka status yako pembeni

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Raha ya mwanamke useme asikie na sio mnajibizana. Mwanamke ukitaka umkamate mwanaume mpe heshima yake, mwanamke mbishi na mjeuri huwa afiki mbali na mwanaume anayejitambua mwenye akili zake. Status ya Baba yako , Babu yako au familia yenu usiilete kwenye mapenzi walingie watu mitaani huko na kazini kwako.
 
Halafu unataka uheshimiwe sijui unyenyekewe. Utasubiri sana ndugu..hizo enzi zilishapita.
 
Back
Top Bottom