Wanawake wako unique sana, mambo wanayopitia ni magumu

Wanawake wako unique sana, mambo wanayopitia ni magumu

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Kati ya viumbe vinavyopitia maswaibu duniani ni wanawake kuliko viumbe vingine.

Mizigo wanayoibeba ni mikubwa sana na inaonesha ni jinsi gani walivyo unique/tofauti na wa kipekee katika dunia hii.

1. Sio kazi rahisi kubeba mimba ambayo wakati wa tendo mlikuwa mna furaha pamoja lakini baada ya hapo utaibeba mwanamke na uchungu utampata yeye..

2 Sio rahisi kumtangazia kila mtu kwamba umefanya tendo la ndoa kwa Kupita na mimba hadharani..

3. Kupitia maswahibu ya menstrual cycle after a countable period of days passes. Wakati huo pads zinauzwa bei juu na condom zisizo za muhimu zinauzwa bei chini..

4. Kuondoka kwao na kuishi na mwanaume kuwaacha wazazi wao na kukubali kukaa na mwanaume. Lakini hizi pia ni sifa zao za kipekee

5. Wanapendeza hata wakivaa nguo za kiume Ila sasa wewe vaa ya kike uone mtaa utakavyo kuibukia.

6. Wanachepuka kwenye ndoa kwa muda mrefu bila kujulikana licha ya kuwa ndio watoboa siri wakubwa na hawakai na neno muda mrefu..

7. Wana uwezo mkubwa wa kufanya shughuli nyingi kwa pamoja(multitasking) Kwa mfano; ananyonyesha mtoto huku anangalia TV, na anasuka mkeka wakati huo amebandika mboga jikoni na vyote vitaenda sawa bila shida yeyote..
 
Mbona hata Mimi Nina uwezo wa kufanya shughuli tano kwa wakati mmoja hata hivo naunga mkono hoja wanawake Wana ujasiri Sana Wana kazi kubwa tuwapende wanawake
 
Ila uwezo wao mdogo ndo maana 99.99% ya manabii ni wanaume
 
Hamna kazi ngumu kama kutafuta pesa hebu acheni upuuzi. Thats why watu wanakaba, wanaua, wanaroga wengine wanaiba.

Kubeba mimba ni kazi au asili? Sie tumebeba kende for forty years na hatulalamiki!

Kuingia period ni kazi au asili?

Kuzaa kwa uchungu nako mnaita kazi? Mlitaka mtoto aendelee kuishi tumboni wakati gestation period imefikia ukomo?
 
[emoji23][emoji23]pale men wanapoitikia dua
Na kusema we are men bana
 
kweli wanaweza mambo mengi kw wakati mmoja..mfano huyu wangu huwa anatafuna bigjii na kucheza gem ya candy huku mi namchakata na vyote vinaenda sawa tuu
 
Kati ya viumbe vinavyopitia maswaibu duniani ni wanawake kuliko viumbe vingine..!

Mizigo wanayoibeba ni mikubwa sana na inaonesha ni jinsi gani walivyo unique/tofauti na wa kipekee katika dunia hii.

1.Sio kazi rahisi kubeba mimba ambayo wakati wa tendo mlikuwa mna furaha pamoja lakini baada ya hapo utaibeba mwanamke na uchungu utampata yeye..

Kwa taarifa yako, wanawake wanapenda sana kupata mimba ila tu iwe ni wakati sahihi. Isiwe kwamba mwanamke upo shule na utwae mimba, hapo ni kero. Thibitisho la hili ninalo hasa kwa jamii yangu (usitake kujua ni jamii ya wapi)

2.Sio rahisi kumtangazia kila mtu kwamba umefanya tendo la ndoa kwa Kupita na mimba hadharani..
Hii nayo sio sababu ya msingi maana ukipata mimba kwenye ndoa nadhani kubeba ujauzito ni suala la kawaida na kinyume na hapo utasemwa mno.

3.Kupitia maswahibu ya menstrual cycle after a countable period of days passes...
Wakati huo pads zinauzwa bei juu na condom zisizo za muhimu zinauzwa bei chini..

Kwani hapa mtu akinunua condom ni faida kwa wote au mume pekee? Ukisema kondomu hazina faida nakushangaa sana.

4.Kuondoka kwao na kuishi na mwanaume kuwaacha wazazi wao na kukubali kukaa na mwanaume..

Hata mwanaume kuna umri ukifikia lazima uondoke kwenu aidha kwa masimango au wewe mwenyewe kujishtukia so hii hoja sio ya msingi.

Lakini hizi pia ni sifa zao za kipekee
5.Wanapendeza hata wakivaa nguo za kiume Ila sasa wewe vaa ya kike uone mtaa utakavyo kuibukia.

6.Wanachepuka kwenye ndoa kwa muda mrefu bila kujulikana licha ya kuwa ndio watoboa siri wakubwa na hawakai na neno muda mrefu..

7.Wana uwezo mkubwa wa kufanya shughuli nyingi kwa pamoja(multitasking)
Kwa mfano;ananyonyesha mtoto huku anangalia TV,na anasuka mkeka wakati huo amebandika mboga jikoni na vyote vitaenda sawa bila shida yeyote..
 
Biological roles hizo mostly, kila kiumbe ana zake
 
Hamna kazi ngumu kama kutafuta pesa hebu acheni upuuzi. Thats why watu wanakaba, wanaua, wanaroga wengine wanaiba.

Kubeba mimba ni kazi au asili? Sie tumebeba kende for forty years na hatulalamiki!

Kuingia period ni kazi au asili?

Kuzaa kwa uchungu nako mnaita kazi? Mlitaka mtoto aendelee kuishi tumboni wakati gestation period imefikia ukomo?
Hela siku hizi kila jinsia inatafuta,hedhi ni swala asili sawa ila unafikiri ni kitu rahisi kuvuja damu huku ukitabasamu na kuendelea na ratiba kama kawa?Kuhusu kubeba mimba na kuzaa ni kutambua tu uwepo wa mama zetu,hata wao wangebebeshwa pumbu kwanza wangetembea ndivyo sivyo na kila dakika kujaribu kuyaweka sawa kama vile pichu imejipenyeza mferejini
 
Hizi mentality

ndio zimepelekea mmomonyoko wa maadili! Maswala ya kutaka jinsia moja ionekane special kuliko ingine.

Oppression imezidi sana sikuhizi!
 
Back
Top Bottom