tnicasissamo
Member
- Aug 26, 2015
- 6
- 1
Wakuu habari zenu, jamani niko kwenye mahusiano lakini ikitokea sijamtafuta nae anakausha, kapiga kimya mbaka sasa nakaribia mwezi sasa, hivi napendwa kweli? [emoji1784][emoji1784][emoji1784] Kiukweli naumia mungu tu anajua ni kiasi gani najiskia[emoji3525]