New Couples kwenye Relationship...

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Hey MMU users! Nafikiria wale new couples kwenye relationship huwa wanakuwa na changamoto gani kwenye kuanza family mpya na kuzoeana kuwa kweli wife and husband...

Mapenzi hua sijui yananoga nadhani hayabadiliki mambo hata wakipata watoto au wakishapata watoto inakuwa tofauti au yanabaki vilevile

Unakuta bado wanajiona watoto bado wanadekezana.
Wanajiona pekee yao duniani
 
Mwanzoni kila mmoja anaficha makucha,yaani tabia zake zisizofaa hazionyeshi wapo wanaoenda mbali zaidi ya kushindwa hata kujamba tu mbele ya mpenzi wake,Ila mkishazoeana na kugundua labda vitu ulivyovitarajia havipo kama ulivyodhani,yaani kabla hata ya watoto unajikuta tu kuna sauti ya utulivu inasikika kwa mbaali,LAITI NINGEJUA
 
Back
Top Bottom