April26
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 1,405
- 2,163
Mtoto wa kike kwanza msafi, rangi muruaaa, figure la katuni za Masoud, wezere hiyoo, nyonga kama nyigu, anaongea kama anataka kukata roho, anavoniheshimu thatha, hujaona mwendo wake ni balaa!!! Kifuani siri yangu!
Ebu kunywa mchuzi nyama ziko chini huku.
Basi bhana, kwa kuwa nafanyia kazi eneo la karibu na ofisi anayofanyia kazi yeye mara kwa mara tumekuwa tunaonana na kusalimiana kishikaji.
Kabla ya kuzoeana tulikuwa tunatupiana macho kama vile unavyo onana na watu kwenye daladala maana ake kila mtu na issue zake!
Siku moja akaniita "wewe kaka samahani" nikajibu "bila samahani" tulivomaliza kusalimiana akaniambia ana shida na huduma (nazotoa kwenye ofisi) yangu kakini hakutaka aje ofisini bali nimpelekee.
Nikaona sio tabu nikampelekea akashukuru sana, siku zikaenda miezi ikapita mwendo ni salamu tu, siku moja nikamfata ofisini kwake kumuuliza kama naweza kupata mteja wa bidhaa zangu. Akaitikia kwa haraka sana " inawezekana sana tena mteja mwenyewe nitamwambia boss wangu (yaani boss wake) faster tu atachukua.
Nikasema OK, mambo si hayo, nyakati hizo sikuwa na hisia nae kabisa, sijui alikuwa ananionaje? Basi bhana nikawa nakumbushia kuhusu boss wake aje kuchukua mzigo akaanza kunizungusha mara ooohh kasafiri ila akirudi atachukua, mara siku hizi yuko busy n.k. nikaona isiwe tabu nikakausha.
Siku zikasonga hapo tuna kama miezi 5 tangu kujuana wala hatujapeana mawasiliano na mimi nikiwa kikazi zaidi na heshima kama yote, siku moja akaniita mtoto wa kiumekwanza yeye kavaa nguo hiyooo! Ndo siku niliyojisemea daaaah jamaa anajua kuhudumia ,kumbe sio bhana demu kajikoki ana maana yake kwangu. Akasema "kaka yule boss nimemwambia issue ile kasema unipe namba yako atakutafuta" nikampa faster akanibipu pale pale nikapata namba yake nikasave nikasepa.
Takribani kama week hivi, nikampigia "vipi boss wako hajanichek au kazingua, ? Nilichoka na jibu akanambia aaahhh yule bhana siku hizi hana simu ! Ila usijali tuendelee kuwasiliana tu nitamwambia halafu nitakupa jibu.
Nilishtuka kidogo kidume nikajisemea mmmhhh boss kabisa akae bila simu ,labda bhana. Sasa ikawa ni kuwasiliana kila mara kwa salamu na story, nilishtuka tena alipopiga simu akaniuliza " labda nitakugombanisha na mkeo kaka maana mmmhh naogopa asije kuona simu au sms zangu" nikajikakamua nikamwambia usijali kuwa huru.
Aisee sijalaza damu wanaume wenzangu ,juzi imebidi nitupie nyavu mtoto mzuri kumbe nilikuwa nimemchelewesha mimi daaaahhh hadi namuonea huruma kwa nini nimemcheleweshea raha yani.
Hadi sasa Niko gear namba 4 nachochea mafuta naona mtoto kaiva nategemea mipango ikienda vizur j2 hii tukanyanduane vizuri tu. Nzuri zaidi ni VVU tumepima wakuu.
Daah nimemchelewesha sana ,kutokujua huku bhana sawa na usiku wa giza au sijui ndo undezi wenyewe? Lakini NO mimi mtoto wa mjini bhana.
Basi bhana ndo hivo.