Habari wanajamii.
Ni mwaka niliambiwa kuwa ujauzito nilioukataa mtoto amezaliwa amefanana na mimi. Niliamua kuanza kulea mtoto. Sasa leo mpenzi wangu nilie nae kwenye uhusiano ameenda kupima...
Baada ya kunicha kwa dharau na nyodo me maisha kidogo yakawa mazuri miaka mitatu baadae nakuja kukutana na huyu bi dada maeneo fulani kweli nilimsahau hadi sura yake akanishika bega kwasababu...
Mimi nimeoa ingawa sio official (hatujafunga ndoa rasmi ila nimeshamlipia na tunaishi pamoja)
Kwa bahati mbaya mke wangu ni aina ile ya wanawake wanaoongea na kupanda juu sana kipindi cha...
Habari.
Nimejaribu kufanya utafiti wangu kwa muda sasa kuhusu aina mbili za mabinti waliozaliwa familia zenye uwezo au wale wenye uwezo wa kipesa uliosimama wasio na maisha ya kuunga unga na...
Habari vipenzi
Nina swali linanitatiza mno, nikaona ni vyema nililete huku hakika nitapata majibu!
Inapata miezi kama saba sasa tangu niachane na mpenzi wangu niliyemzoeaga sana niliyekuwa naye...
Ila wabongo mjifunzeni kuwa romantic kwenye mahusiano/ndoa. Penzi linanoga ukiwa romantic bana.
Yaani sijajua sijui ni desturi au ni ushamba yaani unakuta mwanaume unarudi home unamkuta wife...
Wazazi wenzangu natumai mko vyema na maisha yanaendelea kama kawaida
Mada hii natumai itakufungua macho kwa kubaini tabia za mwanao pindi utembeapo nae pamoja barabarani
1. Mtoto anapopendelea...
Wakuu kwema? Polein sana na majukumu kuna swala linanisumbua sana kuna mwanamama mmoja hapa ninapofanyia kazi kwa kweli amebarikwa sana mrefu ana kiuno kizuri kimeingia ndan hipsi imechomoka...
Wakuu habari ya wakati huu,
Naomba wazazi mnisaidie kujua ni zawadi gani nzuri anastahili mtoto wa kike ambae amefanya vizuri mitihani yake ya darasa la saba ili kumtia moyo aendelee kufanya...
Wakuu naona nikimbilie huku tusaidiane kabla sijapigwa hela.
Mwanamke nilikutana kwenye mtandao yuko Miami USA
Nimejaribu kumpima nimtumie hela anunue eti hataki hela Mimi nimnunulie through mtandao
Habari za jioni Wana wa Adam na Eva,
Bana kuna jambo nimemsikia mtu hapa jirani yangu ikabidi nikumbuke kitu. Hapo nyuma nilikuwa na mpenda binti flani Sanaa,Ila ikatokea akahama mkoa nilio kuwa...
Naomba kuwakumbusha muweze kutofautisha elimu za darasani na elimu ya maisha! Ni vitu viwili tofauti!
Hamuolewi kwasababu ya degree zenu mlizonazo. Elimu mlizozipata shuleni sio sifa au kigezo...
Wadada sikilizeni.
Kile kitendo cha kumkatalia Mwanaume kufanya tendo la ndoa wakati ndo kwanza mmeanza kufahamiana aisee mnafanyaga jambo jema Sana, tena nasema mnafanyaga maamuzi sahihi kabisa...
Je, mtoto anaweza kulelewa kwa mafanikio ikiwa sheria za malezi za wazazi/walezi wake zitakuwa tofautitofauti? Yaani Baba ana kanuni na taratibu hii, Mama ana kanuni na taratibu hii. Yapi maoni yako?
Awe anaishi dar umri kati ya 22 mpk 30, tuwe pmoja kupeana ushauri wa maisha na kubadilishana mawazo kua pmoja hadi mke na mume alie serious anitafute
Mim ni mrefu, kidgo mpana wa wastan ni...
Zama za leo wanaume tumekuwa tukilalamika kukosekana kwa mapenzi halisi toka kwa wanawake! Ni dhahiri zama zimebadilika,ule upendo halisi umefifia Ila haujapotea!. Kilichopotea ni kile ambacho...
Nadhani watu wengi waliwahi kupitia situation hii pale unapokuwa na mpenzi mliependana naye lakini kuna hatua inafikia mapenzi yanachuja hivyo mapenzi yanapungua sana
Hebu tuambiane ni hatua gani...
Wakubwa shkamoni wengine habari zenu.
Stori ipo hivi: Miaka 9 iliyo pita nilikuwa na mchumba'tulijuana yy akiwa mwaka wa pili chuo Fulani akisomea kazi Fulani,alihitimu na kupangiwa mikoa ya...
Tabia na maisha ya watu yanatofautiana kutokanana na mazingira waliyopo wahusika ila kwa wenzetu wao wana upendo wa dhati nadhani.
Juzi nimetazama habari, katika ndege moja huko ughaibuni...