Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,083
- 6,921
Habari wanajamii.
Ni mwaka niliambiwa kuwa ujauzito nilioukataa mtoto amezaliwa amefanana na mimi. Niliamua kuanza kulea mtoto. Sasa leo mpenzi wangu nilie nae kwenye uhusiano ameenda kupima ameambiwa ana mimba ya mwezi mmoja.
Nifanyeje maana nilipanga kuwa na watoto nikioa ili watoto nipate kwenye ndoa sasa naona kuna dalili za kuwa na watoto wawili kabla ya ndoa.
Pia hao wote wawili sijapanga kuishi nao.
Najisikia vibaya nilikuwa nawachukia single mothers sasa mwenyewe nimekuwa kati ya wanaozalisha na kuacha. Yote haya ni baada ya kutendwa na niliempenda nimeishia kuwa na wapenzi wengi sana bila kudumu nao, nikifanya mapenzi upendo unaisha natafuta mwingine.