Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Watu wanatafuta wachumba Sana humu lakini mbona ushuhuda hawatupi walio wai pata wachumba kupitia jf humu ndani au tuna poteza muda tuu watu wana tania kutafuta wachumba Sent from my TECNO B1f...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumai hamjambo wanajamvi. Wakuu linapokuja suala la ndoa kizazi cha sasa kinafail mno, zamani watu walichaguliwa wake/waume na walilazimika kuwaoa/kuolewa nao hata kama hawawapendi bt ndoa...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Natafuta mwanamke wa kuwa na mahusiano nae. *Nilikuwa na mke ila kwa sasa tumetengana *nina mtoto 1 *Kipato changu cha kawaida sana(kidogo) *Umri wangu miaka 30 *sichagui umri wala idadi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huu ujumbe wa usiku mwema uwafikie wale ambao hawajaoa/kuolewa.Japokuwa Jamii Forums IPO na imekuja na Love Connect Ila hawajafanikisha Ujumbe huu uwafikie wale ambao hawataki kuingia kwenye ndoa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Unamtongoza bi\dada anakukubalia siku hiyo hiyo lakini sasa kukupenda itakubidi ufanye kazi kubwa sana. Utasikia mimi nimeumizwa simwamini mwanaume, ngoja kwanza nikuchunguze halafu ndo...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Siku moja nipo kwenye sherehe ya Harusi nikakutana na jamaa yangu Kalunde kaja na mdada mmoja matata! Yes, we knew alikuwaga side chick wake! Mkewe Kalunde anatokea Mkoa wa wanawake mabaunsa...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Mfano mrahisi tu ni kusambaa kwa hiyo video ya mtoto wa IFM. Kama umesha achana na mchana wa watu basi muache kwa wema na kama umejaribu kurudiana nae na amekataa basi. Usilazimishe. Inasemekana...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawakumbusha wanaume wenzangu mliopo ndani ya ndoa au katika mahusiano hakikisheni mnapambanq juu chini mnafika mbali katika maisha ili mwanamke uliyenae aendelee kukuheshimu . Ukweli ni kwamba...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Wanajamvi, naomba mnipie ushauri maana nipo njia panda mpaka sasa hivi. Ni takriban miaka 2 sasa niko katika mahusiano na huyu bint kiukwel ss tunapendana na ni mwanamke mwenye mipango mizuri ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mara nyingi wazazi huchangia kuharibu watoto wao wenyewe, kupitia midoli hii nakuhakikishia kwamba, mwanao si salama. Inachochea tamaa ya ngono hata kwa wakubwa maybe hujawahi kuishika japokuwa...
19 Reactions
36 Replies
8K Views
Wasalaam wakuu Nina mpenzi wangu ananisumbua sana na hii tabia ya kuandika massage nusunusu. Kwa mfano: nambiy, kmy, p, k, ww, yaani simuelewi kabisa, nimekuwa nikimwambia sipendi hiyo tabia...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Jamaa anasema mara ya kwanza alioa mtoto mzuri mwamvua.mwamvua alikuwa anavutia sana.shida alipanga naye mtaani pale pale ambapo jamaa anaishi miaka yote. Zile nyumba zenye corridor katikati.basi...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu... Habari za jioni mabibi na mabwana, natumai kuwa mu wazima wa afya kabisa! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naombeni kupewa knowledge hasa juu ya...
4 Reactions
160 Replies
64K Views
1: Unamtumia pesa tena bila hata ya yeye kukuomba hajibu kama amepokea wala hakuna cha asante anakausha tu hadi wewe uanze kumpigia simu! 2: Unatuma sms WhatsApp haifungui ama anaweza akaifungua...
6 Reactions
73 Replies
6K Views
Binadamu si wa kuwaamini hata. Yaani mtu mwingine ni rafiki lakini kumbe hakutakii mema. Nliusikia huo wimbo wa Bend moja hapa nchini. Wanaimba wanasema hapa piga ua talaka yangu utatoa, ama sivyo...
10 Reactions
35 Replies
5K Views
Kuna vibinti ukijiroga tu ukasema mambo kikajibu safi. Ukaongezea niambie. Mara utasikia nitumie elfu50. Kwa hiyo unapochati na vibinti kama hivyo inabidi uwe makini sana na uandikaji wa sentensi...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Mimi mi binti wa miaka 24 kila nikimpata mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano huwa najua ndo mume wangu kumbe sio mtu sahihi wa kuitwa mume. Nimeshakuwa kwenye mahusiano Mara ya Pili Sasa.. Unakuta...
14 Reactions
163 Replies
14K Views
Usilazimishe penzi hata siku moja. Mtu anayekupenda haitaji kusumbuliwa ili akukubalie. Kidogo tu ukimgusia uhusiano naye unaona dalili za kuonyesha kukupenda. Mwanamke unayemfuatilia mara...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Ipo hivi Leo niliamka asubuhi na kisha nikaenda store, kuna kitu nilikuwa ninatafuta. Baada ya kuingia, nikakuta jiko la gesi ambalo lilikua likitumika kupikia, na kumbe lilipasuka kioo na kisha...
13 Reactions
50 Replies
4K Views
Wakati wa uchumba wanawake wanakuwa viumbe wengine, wazuri na wenye mapenzi, wakati mwingine mwanaume hufanyiwa vitu mpaka unatangaza ndoa bila kujua. Kipindi hiki mapenzi yanakuwa moto moto, kila...
16 Reactions
157 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…