Love is suppose to be simple, effortless and beautful.

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,729
Usilazimishe penzi hata siku moja. Mtu anayekupenda haitaji kusumbuliwa ili akukubalie. Kidogo tu ukimgusia uhusiano naye unaona dalili za kuonyesha kukupenda.

Mwanamke unayemfuatilia mara kakuchomesha mahindi kwa dinner, unamtumia text saa 2 anakujibu anakuja.

Ikifika muda wa miadi hapatikani hadi unaamua kumpandia hewani kuulizia vipu! Umeahirisha kuja?

Tena unakuta kasahau kama mlikubaliana. Usijishushe namna hiyo.

Love is suppose to be simple, effortless and beautful.
0fgjhs3cbrruefrkpg.jpg
 
Usilazimishe penzi hata siku moja. Mtu anayekupenda haitaji kusumbuliwa ili akukubalie. Kidogo tu ukimgusia uhusiano naye unaona dalili za kuonyesha kukupenda.

Mwanamke unayemfuatilia mara kakuchomesha mahindi kwa dinner, unamtumia text saa 2 anakujibu anakuja.

Ikifika muda wa miadi hapatikani hadi unaamua kumpandia hewani kuulizia vipu! Umeahirisha kuja?

Tena unakuta kasahau kama mlikubaliana. Usijishushe namna hiyo.

Love is suppose to be simple, effortless and beautful.View attachment 1581216
Mkuu hakuna mapenzi ya kutongozana.

Inatakiwa watu mkutane kihisia tu,paap mnajikuta mko pamoja kama wapenzi.

Yaani ilee kila mmoja aone kwamba dah kwa hivi nilivozoweana na mwenzangu basi tushakuwa wapenzi hapa kwa sababu hakuna kilichobakia.

Haiwezekani ukitaka kula useme kwa sauti kwamba sasa nataka kula,we unajikuta tu paap unaanza kufanya harakati za kula mwishowe ugali unasimama.

Ukitaka kulala sio lazima useme kwa sauti kuwa sasa nataka kulala,wewe unaoga unavuta shuka usingizi unakuja,huku ni kufanya mambo kihisia zaidi.

Na hivyo sasa ukimpenda mwanamke achana na habari za kutongoza.
 
Kumbe..! Nishajua napokosea.. Basi kuanzia Leo siwaendei kwa mganga hawa viumbe wanawake.
 
Mimi na maoni tofauti kidogo, kwa uzoefu wangu ni kwamba mambo ya Mahusiano/mapenzi ni swala la timing zaidi klk kitu chochote, ninachomaanisha ni kwamba inategemea demu unakutana wakati gani na yuko katika hali gani kimaisha hilo ndilo linaloamua kila kitu ndio maana utaoana demu anaweza kukuzingua wewe unayemfukuzia hata kwa miaka lkn akakutana na jamaa akamg'oa bila ya shida tena demu unakuta hata kajirahisisha kwake, hivyo tofauti ya hao watu 2 ni ip? Ni timing tu, hivyo basi wewe endelea na maisha yako na fanya mambo yako na utakutana na demu njiani wakati hata hautafuti, huo ni uzoefu wangu, ...
 
Mkuu hakuna mapenzi ya kutongozana.

Inatakiwa watu mkutane kihisia tu,paap mnajikuta mko pamoja kama wapenzi.

Yaani ilee kila mmoja aone kwamba dah kwa hivi nilivozoweana na mwenzangu basi tushakuwa wapenzi hapa kwa sababu hakuna kilichobakia.

Haiwezekani ukitaka kula useme kwa sauti kwamba sasa nataka kula,we unajikuta tu paap unaanza kufanya harakati za kula mwishowe ugali unasimama.

Ukitaka kulala sio lazima useme kwa sauti kuwa sasa nataka kulala,wewe unaoga unavuta shuka usingizi unakuja,huku ni kufanya mambo kihisia zaidi.

Na hivyo sasa ukimpenda mwanamke achana na habari za kutongoza.
Kwa hiyo mkuu unaunga mkono hoja au huungi mkono hoja ya mapenzi hutakiwi utumie nguvu kumshawishi unayemtaka?
 
Mimi na maoni tofauti kidogo, kwa uzoefu wangu ni kwamba mambo ya Mahusiano/mapenzi ni swala la timing zaidi klk kitu chochote, ninachomaanisha ni kwamba inategemea demu unakutana wakati gani na yuko katika hali gani kimaisha hilo ndilo linaloamua kila kitu ndio maana utaoana demu anaweza kukuzingua wewe unayemfukuzia hata kwa miaka lkn akakutana na jamaa akamg'oa bila ya shida tena demu unakuta hata kajirahisisha kwake, hivyo tofauti ya hao watu 2 ni ip? Ni timing tu, hivyo basi wewe endelea na maisha yako na fanya mambo yako na utakutana na demu njiani wakati hata hautafuti, huo ni uzoefu wangu, ...
Kwa lugha tofuati.... wanawake huwakubali wanaume kwasababu ya hali walizonazo mkuu?

Acha tukubaliane kutokukubaliana.
 
Kuhusu kutotumia nguvu naunga mkono hoja,nguvu za nini wakati haya ni mambo ya kihisia zaidi.

Hisia hazifosiwi.
Hewaala....

Chukua glass ya maji hapo ulipo shushia...kisha weka glass pembeni uioshe haina maana ukiinywea tu maji haijachafuka.
 
Wengine ukikubali haraka unaonekana cheap

Japo naunga mkono hoja ya love kuwa simple,effortless and beautiful

Kwenye hii nyimbo Nikki wa II anakwambia anawadiss maex wake manake walikuwa rahisi....

Back
Top Bottom