Kuna vitabia uchwara vinavyokera hasa kwa wanawake wengi

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
1: Unamtumia pesa tena bila hata ya yeye kukuomba hajibu kama amepokea wala hakuna cha asante anakausha tu hadi wewe uanze kumpigia simu!
2: Unatuma sms WhatsApp haifungui ama anaweza akaifungua na kuisoma kwa muda unataka na kukujibu muda anamtaka!
3: Unamtumia vocha lakini hawezi kukupigia zaidi ya kubeep!
4: Unaweza kumnunulia zawadi kisha akaanza kuiponda

Kuna tabia ndogo ndogo zinakera sana na hazivumiliki
 
Mapenzi ni usheitwani.
Ukimuona sheitwani mmoja anakusumbua hakuchangamkii tafuta shaitwani mwingine ambaye ataendana na wewe na atakusumbua. Kuna sheitwani mmoja hapa nimemwambia apite kazini kazingua, yuko kwenye gari ya kazini kwao ndo ananipigia simu uko wapi natoka nje ashapita kitambo. Anakwenda kulipwa elfu 5 huku Mimi nilitaka nimpe 30 chap then aondoke bila hata kumgonga. Ishakula kwake.
Simtaki tena
 
Back
Top Bottom