Wanawake wakati mwingine michepuko mnaitafuta wenyewe

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,863
Wakati wa uchumba wanawake wanakuwa viumbe wengine, wazuri na wenye mapenzi, wakati mwingine mwanaume hufanyiwa vitu mpaka unatangaza ndoa bila kujua. Kipindi hiki mapenzi yanakuwa moto moto, kila ukihitaji unapewa, kazi zote unafanyiwa, kumbe ni kampeni ya kuisaka ndoa.

Mara tu mnapoolewa wanawake mnajisahau sana, dharau, viburi, ujuaji, mapenzi zero mbaya zaidi hata kile chakula chetu pendwa unapewa kwa kupangiwa, kila siku mnuno, mvivu, na kutokujali.

Wakati mwingine unaoa ili upate pumziko la mwili na akili pindi ukichoka lakini unajikuta umeingia kwenye moto ambao huzimiki, hivi kweli kwa hali kwanini mwanaume nisitafute mchepuko wa kupata pumziko, bahati nzuri pia michepuko inajua kucare na haina kelele nyingi.

Hebu wanawake jaribuni kutufanyia yale mliyokuwa mnatufanyia enzi za uchumba muone kama tutachepuka, hata tukijaribu nafasi itatusuta.
 
Wapo wanawake wanaopenda kuingia tu katika ndoa na kuitwa mke wa fulani. Furaha yao hutimia hapo tu.....

Wapo wanaopenda kuishi vyema na kufurahia ndoa, hao hujituma na kujitahidi kutenda kila jema kumridhisha mwenzake.
 
Nawangoja wale wabishi waje kupinga kishabiki. Wanauzi kinoma hawa na wanatutesa wenye mapenzi ya kweli.
Wanaume mnafeli pale mnapo expect ili penzi liwe stable na liwe jipya kila siku lazima mwanamke a play part kubwa kitu ambacho sio sahihi.
Le me tell you this, wanawake tuna hitaji vitu vidogo vidogo tu ili tufanye mnachotaka.
Mkishatupata mnapunguza attention no texts /call like before. Vizawadi vidogo vidogo vinasitishwa, weekly dinners dates mnaacha. Nabadilisha hairstyle, nanunua nguo mpya, perfume.... but u don't even notice let alone complement me!!!!
Kwa ufupi mkishatupata mnajisahau.... and you expect us to keep our game on top??? Come on boys, love is a two way game .
If you give a woman your attention she'll want to impress you and make you happy e'day in all ways she can from the kitchen to the bedroom .
Ignore her and you'll run to Jf and start a thread... [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Meghan huu ni ukweli mchungu,hope wakaka wa JF wamekusoma na wataboresha mahusiano yao,,👍👍👍👌👌👌
 
Wanaume mnafeli pale mnapo expect ili penzi liwe stable na liwe jipya kila siku lazima mwanamke a play part kubwa kitu ambacho sio sahihi.
Le me tell you this, wanawake tuna hitaji vitu vidogo vidogo tu ili tufanye mnachotaka.
Mkishatupata mnapunguza attention no texts /call like before. Vizawadi vidogo vidogo vinasitishwa, weekly dinners dates mnaacha. Nabadilisha hairstyle, nanunua nguo mpya, perfume.... but u don't even notice let alone complement me!!!!
Kwa ufupi mkishatupata mnajisahau.... and you expect us to keep our game on top??? Come on boys, love is a two way game .
If you give a woman your attention she'll want to impress you and make you happy e'day in all ways she can from the kitchen to the bedroom .
Ignore her and you'll run to Jf and start a thread... [emoji3][emoji3][emoji3]
@Noel Ngiama Makanda
Bujibuji baba wa watoto sita kwa wanawake sita
Asprin babu refresher hiyo uendelee kum impress bibi
Zero IQ
 
Hata mechi tu hadi sisi ndo tuoneshe uhitaji!??
Unalala na chupi umeolewa...na pyjamas juu!??

Nisipohitaji hata wiki nawe wapotezea...

Acheni msaidiwe tu..
Inategemea mazoea yenu and how you treat each other. Kama mnaenda kibabe au kama mkeo ni type za "yes saaa" hata awe na hamu vipi haombi ng'oooo na hao hao ndo walala na vyupi na tight juu na madera.
Treat her well uone atakavyo kufanyia.... Utaenda kwa mchepuko hutaona jipya. Tatizo mnajisahau, you make your woman feel miserable and unwanted halafu mnawakimbia......
Ukimuweka sawa hata mechi anakuanzishia tena atataka mpk uchoke
 
Acha tu boss. Nina Mwanamke wangu nampenda na namuhudumia lakini ana kiburi cha kizaliwa wala hafanyi makusudi imebidi nimchunguze mama yake na ni vile vile.

Nimenyoosha mikono [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom