Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa wajuvi wa haya masuala ya ki-ndoa, hivi tokea siku ilipopelekwa barua ya posa kwa wazazi wa binti huwa inatakiwa kuchukua muda gani hadi kuja kutoa mali? Hapa namaanisha ukomo wa kuishi...
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Hizi nyumba maeneo yao hawana ujirani, walikuwa na ujirani wakati wa ujenzi labda. Wengine hata mpaka wanahamia nyumba zao za mageti hamjui jirani yake. Haya maisha sio kabisa, Allah aniepushe na...
11 Reactions
74 Replies
9K Views
Nataka mke miaka 25-30 asitoke Dar awe anatoka mikoani. Elimu kuanzia Darasa la Saba mpaka Form Four, awe anatoka familia ya kipato cha chini, awe mtafutaji na mwenye mawazo positive ya maisha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
"MTOTO WA NYOKA NI NYOKA" Na, Robert Heriel Panya huzaa panya Paka huzaa paka Mbwa huzaa mbwa.,.....n.k Mtoto wa nyoka ni nyoka, wahenga walisema kisha wakaongezea, maji hufuata mkondo. Baadaye...
6 Reactions
21 Replies
6K Views
Sina furaha kabisa, Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya. Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila...
30 Reactions
259 Replies
26K Views
Habari za asubuhi. Kwa kweli nimefikia katika hatua ngumu sana katika mahusiano yangu (japo huenda isiwe sahihi kwa mimi kuita ni mahusiano kutokana na hali iliopo hivi sasa. Ishu yenyewe iko...
3 Reactions
171 Replies
15K Views
Jina langu ni Daniel Adrian. ( Jina langu halisi) Mara ya mwisho kujihusisha na mahusiano wala siwezi sahau. Ilikuwa kumbukumbu mbaya. Nilishatendwa yani, basi Mwamba nikasema sitaki tena mapenzi...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari zenu Wana JF Moja kwa moja ngoja niende kwenye mada. Mshkaji wangu kuna demu mmoja alikuwa anampenda ila anaogopa kumwambia hvyo ilibidi nimsaidie kumtongozea na akampata kweli yule binti...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, Naombeni ushauri wenu maana kila nikipata mwanamke ananiacha, nashindwa kuelewa tatizo ni nni. Mpaka sasa ni wanawake zaidi ya 30 wote wamenikimbia ila pesa ninayo nyingi...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Unamfahamu mwanamke kwa siku chache tu, labda siku moja tu anataka apewe laki 3. Ameishiwa pesa ya hostel hapo CBE. Hii sio sawa dada zagu. Afadhalii hata upate one week. Mimi najua inakubidi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mnamo July 30 mwaka huu nilikutana na binti fulani mwanachuo, hatukutumia kinga usiku lakini asubuhi wakati anataka kuondoka nikaomba tupime afya, nae bila hiyana akakubali, bioline ikajibu...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Hebu tujikumbushie ni staili gani ulitumia kumsahau EX wako mimi upande wangu Mi baada ya kuona kumove on siwezi niliamua kutafuta jimama la kunilea maeneo ya Tandika kwa wagwayaaaa nilihamia...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nikiwa naendelea kusafu FB, mara nikapokea ombi la urafiki kwa binti mmoja. Mara baada tu ya kumkubali maongezi yalikuwa hivi. Binti. Hi Mimi. Hi mambo Binti. Unapatikana wapi Mimi...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Kuna bro wangu toka kwa baba mwingine sasa kuna manzi alijipendekezaga bro akamtokea demu akatiki kwa asilimia zote sasa braza amaekuwa akila tunda mara kwa mara ila tukiwa wote anasema huyu manzi...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Hello MMU members. "The Big Mistake That People Do Is To Listen To their Parents,Relatives and Neighbors"..Its just a Quote. Let's get down to the business. Most of the parents wish and want...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Nakuja mbele zenu wana JF ushauri wenu ni muhimu sana, Nilikua na mpenzi wangu, nilimpenda sana toka moyoni, awali tulipendana sana, watu kibao waliisifia relation yetu, nilijiona kua miongoni...
2 Reactions
43 Replies
8K Views
Haiwezekan eneo hili likawa hiv.weng ni wanafunz wa vyuo viwil vya hapa karib. Ni watoto wazur kwelkweli. Halaf hawana hela sasa...hiv kwel nikitega nyavu zangu ntakua nakosea..ni mda mref sjapita...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Mambo haya yana haribu na kuvunja kabisa upendo na ndoa mwanamke ukiyafanya kwenye ndoa yako Mwanamke, kama unalala hadi mumeo anaamka asubuhi na kwenda kuoga, anajiandaa kutoka kwenda kazini...
3 Reactions
18 Replies
6K Views
  • Closed
Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili...
3 Reactions
174 Replies
43K Views
Watu wanatafuta wachumba Sana humu lakini mbona ushuhuda hawatupi walio wai pata wachumba kupitia jf humu ndani au tuna poteza muda tuu watu wana tania kutafuta wachumba Sent from my TECNO B1f...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom