Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache
1...
Wanawake wanasemekana kuwa na upendo wa kweli mara nyingi. Ila wao wapo tofauti sana na Wanaume katika kuchagua mtu wa kumpenda.
Wanawake hutumia muda mrefu kufanya maamuzi ya kumpenda mtu...
Jamani wana JF mahusiano sasaivi yamekuwa kama mpira wa miguu yana usajili na refa ree. Refa ni mama mkwee mana anaweza sema ni penalt au faulu ila wanaharibu sana watoto wao wa kike
Kwanza...
Sina maneno mingi mingi leo ila napenda tu kusema na kuwambia kina mama/dada zetu kwamba sisi wanaume hamna kitu tunapenda na kukifurahia kama chakula cha nyumbani ambacho ni kitamu kilichopikwa...
Habari za mapumziko Wana MMU.
Nachosema nikwamba kuna tabia ambayo inajitokeza kwa wanawake mala mahusiano yanapovunjika nazungumza hivi kwa kua nimeshudia hii kitu kwa rafiki zangu kadhaa na...
Dunia imepitia mabadiliko makubwa ya sayansi na teknolojia.Bila kusahau uanzishwaji wa vipodozi na vifaa vingine vya urembo.
Utafiti unaonesha wanawake wa marekani na mabinti hutumia muda wao...
QUOTED
5) Usitumie toilet paper karibu na uke. Kama utatumia tissue kujifutia ukitoka haja ndogo jitahidi isiguse uke. Tissue zimetengezwa na recyclable materials, ni uchafu..
10) Kama unahitaji...
Yawezekana boyfriend wake wameachana kaamua kupost, hiyo ndio changamoto ya vibinti vyenye rangi. Kikianza kumwacha boyfriend hakitumii kanuni ya pythogras.
Inatakiwa unapomwacha mtu unaanza...
Za jioni wadau.
Mara nyingi inatokea kwenye familia zetu mzazi/wazazi/walezi wanakuwa wanazidisha upendo kwa maneno ama kwa vitendo kwa mtoto mmoja au baadhi huku wengine wakiachwa.
Kwa wasomaji...
Ni mwendelezo wa visa na mikasa ya kweli kabisa. Yafuatayo yalimkuta rafiki yangu.
Nilimkuta siku moja akiwa anaongea na binti kwenye simu niliwasubiri wamalize ndipo nikamuuliza vipi bro, kwani...
Kuna mtoto nimetokea kumpenda na niko tayari kumuoa ila nilivomfungukia tuu ameniambia ana mpenzi na akaniambia kipindi hiki niwe mwangalifu kwasababu mpenzi wake amerudi.
Wazoefu naombeni...
Natumai hamjambo wanajamvi.
Wadada wengi wanakasumba ya kuwachukulia poa wanaume wenye miili, wengi hujiaminisha kuw wanaume wenye miili ya kati/ mikubwa wanavibamia kitu ambacho si sahihi...
"You've done so much for me, I can't tell it all, narekelema. What shall i render to Jehovah for he has done so very much for me."
Basi buana kuna wakati Mungu anaweza kukutendea kitu katika...
Enzi zile walikuwa wanapiga Nyeto kwa sababu mademu walikuwa wachache,yaani unaweza kuta kitaa kizima kina demu mmoja tu mkali alafu wahuni wote wanafukuzia, hapo ndipo ule msemo wa mwenye kisu...
Salaam wapendwa, niende moja kwa moja kwenye mada.
Kwa kijana yoyote wenye umri ambao tunauita foolish age lazima alishawah tokewa na hali ya kutamani kua na kila mwanamke, na si mwanamke tu hapa...
Mwanaume unamchukuliane mwanamke huyuuu??
Mwanamke msomi, mwenye kazi nzuri
Mwenye assets labda nyumba kiwanja
Labda biashara 1 au 2
Kwa kifupi mwanamke ambaye amefanikiwa kiuchumi...
Ooh Yes. Mapenzi bwana kazi kweli kweli! Vijana huwa tuna moto Sana wakati ndo penzi/uhusiano unaanza wakati bado mkiwa couples (hamna watoto). Wengi huwa wanatamani wapate watoto na waanzishe...
Makanisa na wenye uhitaji wa ndoa wote wamevurugwa, nimeenda kusali kanisa flani hivi mchungaji kasema wanawake ambao hawajaolewa wasimame
Dah! Dah! Niliogopa wengine walijisahau wakakimbilia...
Niko kwenye mahusiano na single mother yapata miezi mitatu Sasa, na lengo lilikuwa nimuoe. Huyu mwenzang naona kidogo hajatulia maana nilifuma SMS kwenye simu yake akiwa bado anaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.