Natumai hamjambo wanajamvi.
Wakuu linapokuja suala la ndoa kizazi cha sasa kinafail mno, zamani watu walichaguliwa wake/waume na walilazimika kuwaoa/kuolewa nao hata kama hawawapendi bt ndoa zilidumu, chakushangaza miaka ya sasa mtu anamchagua mwenyewe wa kumuoa/kuolewa naye but ndoa hazidumu, je ni wapi kizazi cha sasa kinakwama kuzidumisha ndoa akati watu wanawaoa/kuolewa na wawapendao?
Mnakaribishwa kushare mawazo yenu.