Tabia ya wanawake kuandika meseji nusunusu

Anko Kong

Senior Member
Jul 3, 2020
130
72
Wasalaam wakuu

Nina mpenzi wangu ananisumbua sana na hii tabia ya kuandika massage nusunusu. Kwa mfano: nambiy, kmy, p, k, ww, yaani simuelewi kabisa, nimekuwa nikimwambia sipendi hiyo tabia lakini ndio anazidi kuendelea nayo

Naombeni ushauri huyu mwanamke ananipenda kweli au ndo tabia za wanawake siku hizi
 
Kaa kwa kutulia..
IMG_20200924_205115.jpg
 
Hakupendi kabisa huyu mkuu. Na anafanya hivyo makusudi.

Kuna jemba inatumiwa meseji nzima nzima huko. Na hakubanii kwenye meseji tu hata kitandani.

Cha kufanya piga chini kabisa huyo.
Asante mkuu nashukuru sana
 
Back
Top Bottom