Mke wa mtu naomba uniache jamani. Kwani mimi ndio mwanaume pekee yangu?

Midazolam

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
806
1,337
Napendwa na mke wa mtu mama tu ana life yake nzuri tu na mimi pia nina maisha yangu ya kunifanya niishi hapa jijini. Napata usumbufu mkubwa sana wa huyu mwanamke kiasi kwamba nafikiria kumwambia mume wake,

Jana kaja usiku kwangu kapaki dinga lake hapo nje kaingia moja kwa moja mpaka ndani ,mida ya saa mbili nikiwa nimeshapika natazama tv pendwa ITV. Alivyofika tu ndani huo mkao wake mtoto hatumwi dukani aisee,

Dakika kama tano kavua nguo zake amebaki uchi wa mnyama anataka dudu. Mimi nikapita nikaingia chumbani nikapita mlango wa pili nikaenda kuangalia mpira wa livapuli. Huyu mama nilishawahi kutwmbea na watoto wake

Sasa wakuu hapa nifanyaje kumuepusha huyu mama nimwambie mme wake au nifanye nini
 
Mimi ni kijana na nina nguvu za kutosha,sijaki kuharibu heshima yangu na tayari watoto wake nilishawatafuna ,sipo tayari kufanya huu ujinga na ndo maana nilitoka.
 
watu tunailaumu liverpool kufungwa goli 7 kumbe kuna watu mmesababisha!
 
Mimi ni kijana na nina nguvu za kutosha,sijaki kuharibu heshima yangu na tayari watoto wake nilishawatafuna ,sipo tayari kufanya huu ujinga na ndo maana nilitoka.
Kuwat*mba mabinti zake kunahusiana nini na kumtafuna yeye!? Unajua kuwa unakaribia kukosa sifa ya uanaume na kubakia na sifa ya uvulana tu.
 
Kuwat*mba mabinti zake kunahusiana nini na kumtafuna yeye!? Unajua kuwa unakaribia kukosa sifa ya uanaume na kubakia na sifa ya uvulana tu.
Hahaaa,kweli watanzia tuna mambo Sana,hapana chief siwezi ,Sina hiyo tamaa.kuna anayetaka namba labda anaweza kunipotezea
 
Back
Top Bottom