Habari,
Jamani ndoa nyingi mbona ni za people aged from 30+ kuna siri gani hapa. Watu wazima ndo wanaoana alafu eti Youths wao hawataki kuoa/kuolewa.
Nimeshuhudia ndoa nyingi Ila asilimia kubwa...
Inawezekana kuolewa na Kaka wa ex wako?mtoto wa baba mkubwa wa ex wako. Aliesababisha mkaachana Ni ex .na Kaka mtu yupo ok yeye hajali anachotaka Ni kuwa mume na mke hajali past circumstances? Hii...
Ni wiki ya pili sasa toka mfungo na sikukuu ya idd lakini nafsi haiko huru kabisa sababu nimefungua mfungo wa ramadhan kwa utii na karma ya Allah kama ada lakini kilichotokea ni aibu na fedhea...
Baada ya kuona kimya hata siku angalau wanawake kuanzisha uzi unaohusiana na jambo linalowapeleka kwa waganga wa kienyeji ili kupata wanaume (ndoa) na kutuhabarisha kinachofanyika huko.
Tunataka...
Nimejitahidi kuitafakari Love in three ways. Kupenda, Kupendwa na Kupendana
Kupenda,hii huwa ni njia ya kwanza kabisa ya formation of relationships inatokea unampenda mtu man/woman then what...
Nimekaa nikawaza hili nisipate jibu sahihi. Najia silaha ya mtoto ni kulia. Silaha ya mwanaume ni pesa. Silaha ya mwanamke ni ipi. Nimejaribu kuwazua nikadhani ni utii. Naomba mtazamo wako tafadhali
Kila mmoja wetu bila kujali jinsia Ana ukomo wa mda wa kukaa bila kufanya mapenzi, wengine hawawezi kukaa week bila sex, wengine mwezi, wengine miezi kadhaa nk.
Tupeane uzoefu hapa Wadau...
Mm...
Uko na mke wako wa ndoa unamjig Sasa wakati mko kwenye climax kabla ya orgasm unamuuliza hivi kabla siajkuoa au toka nimekuoa umejig na wanaume wangapi maishani mwako? Anakuambia huku analia kwa...
Oya niadje wanangu
Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje
Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa...
Habari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi.
Sasa hapa ofisini kuna mdada huwa...
Vitabu vya dini vinasema
"Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono take mwenyewe".
Sifa za mwanamke mpumbavu
1: Amejaa Gubu ( nagging). Yaani malalamiko kila Kona.
2: Ananajisi kitanda...
Salaam wanajukwaa,
Kumekua na malalamiko mengi miongoni mwa wanawake kua siku za hivi karibuni kumekua na upungufu wa wanaume waaminifu, wapole na wenye upendo wa dhati.
Katika kujaribu kutafuta...
Habari,
Nimekuwa nikisikia sana kuwa Mwanamke ni dhaifu. Akizungumziwa mwanamke udhaifu nao lazima uwepo hapo.
Je, udhaifu huu ni upi? Mbona nikimuangalia wanawake wengi tu siwaoni kama dhaifu...
Habari wana JamiiForums.
Natumai Jumatatu imeanza vyema tukiwa wenye siha njema.Kama sivyo nawaombea Mungu wote wasio katika ubora wao basi wairejee hali yao ya kawaida.
Nina moja tu la kutaka...
Kwa wale mapro wenzangu toa sababu kwa nini unaenda kununua dada poa/malaya?
Binafsi sababu yangu kubwa ni ucheap wao wa kuwapata na kupata huduma kwa haraka bila bughuza bughuza za kuombwa hela...
Anasimulia mdau,
Naandika uzi huu takribani miaka nane tangu nilipopokea ushauri huu kutoka kwa huyu jamaa ambaye nilikuwa nikimuita braza aliyekuwa amepanga karibu kabisa na nyumbani.
Ipo hivi...
MOYO WANGU UNAUNGUA, SINA RAHA TENA!
Nimeoa mwanamke ambaye nimeishi naye miaka mitano hadi sasa. Wakati tunaingia katika mahusiano nilimkuta tayari ana mtoto ambaye alizalishwa na mwanaume...
Jamani tuongee ukweli, kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati. Penzi la muda mfupi au la siku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda haihitaji...
Mimi upande wangu kuna mwana dada nilimpendaga sana nilivyomuona simuelewi elewi vitabia vyake nilimwita sehemu Tukae tuongee ili tuachane kwa Amani kila mtu achukue time zake
Nilivyomuita...
Hi! All members of this forum.
I'll try to be as brief as possible.
I need a woman for serious relationship that leads to marriage if things goes well and plans are clinched.
I am 28 years old...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.