Naenda kukutana na ex wangu ambae penzi letu lilikufa kimyakimya

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Leo mida ya jioni naenda kukutana na ex wangu ambae penzi letu lilikufa kimya kimya kitambo chanzo cha penzi letu kufa kimya kimya ni mimi baada ya kuona mwenzangu Kabadilika kitabia haeleweki simtafuti mpka mi nimtafute nilivyoona najishosha niliamua kukausha maana nilijua hapa sipendwi nilisepa kimya kimya bila kuaga

Sasa leo hii naenda kukutana baada ya kuniona kimya muda mrefu ameniomba tukutane ili tuzungumze mpaka sasa sijui kama bado ananichukulia mimi kama mpenzi wake au Ex wake ila mimi nimeshamchukulia kama Ex wangu
Tuu.

Kiukweli bado nampenda na ninatamani nikiona anarudisha penzi lake kwangu hivyo wadau naombeni hits point au maneno ya kumvutia tena jinsi ya kuanza na kumaliza
 
Vaa vizuliii

Pendeza like a gentlemen ikiwezekana vunja kabati

Badilisha muonekano

Pia ukifika usiwe mzungumzaji sana tumia muda kumsikiliza wee kua tuu simple

Vitu vya kuepuka ktk maongezini usikumbushe makosa ya zamani kama ulikuwa umekosea Kili yameisha

Ila epuka kumwambia plan zako na sasa hivi umefikia wapi hayo mtayazungumza penzi likirudishwa

Maana hii imekuwa ex wengi hupenda kufahamu saivi upo au umefikia wapi ili ajue anarudi au laa

Best wishes
 
Kikubwa usiwe muongeaji sana,acha yeye atawale maongezi yenu...sababu ni yeye aliyeomba kukutana na wewe

Kingine usiwe too excited kwasababu hujui anaenda kukwambia nini,inaweza kuwa anakupa taarifa ambazo kwa upande wako hazitakuwa njema

Usioneshe kumuhitaji,act normal....ikibidi onesha kabisa don't care attitude

Usichukue maamuzi ya pale pale,atakachokuambia kama kina uzito mwambie unataka kwenda kutafakari kwanza
 
Point hii hapa
 
Hawa washamaliza
 
Kwa uzoefu wangu hapo kuna mawili leo unaenda kuachwa rasmi ninachokushauli baki nyumbani narudia tena baKi nyumbani ikiwezekana muda wa kukutana mwambie uko bize huwezi kufika leo mpka siku nyingine huyo mwanamke inatakiwa umpige chenga mpka akili imkae vizuli

Kingine inawezekana anakuja kukuchora akuone tangu mmekaushiana unafananaje kama arudishe penzi au ndo asepe mazima
 
Back
Top Bottom