Maana ya kuwa mwili mmoja ni nini?

Maana ya kuwa mwili mmoja ni nini?

Quetzal

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
6,412
Reaction score
10,926
Nauliza kwa kutaka kujua

Wakati wanafunga ndoa wakirisitu huwa wanasema hayo maneno ya kuwa mwili mmoja. Hii ina maana gani?

Nimejaribu kumuuliza ndugu yangu mmoja mlokole kasema anaona aibu kuniambia

Naomba kujuzwa.
 
Kuna mdau alizungumzia vzr Sana suala hili, ngoja niutafute ule uzi.
 
Mimi nikiwaza TU hainiingii akilini.. vikojoloe vinaungana kwa Muda wa tendo..

Sasa huo mwili mmoja unakuwaje
Sasa wewe unadhani anapopatika mtoto inafanyikaje... . maana yake watu wawili wametengeneza mtu....
 
dhana ya mwili mmoja inatokana na asili ya uumbaji kua mwanamke alitoka katika ubavu wa mwanaume hivo unapomuoa anarudi katika asili ya kua mwili mmoja, pia hawa wenza hua wamoja kihisia, kimwili na hata kiroho kwa ujumla haya mambo yote huitimiza dhana ya mwili mmoja
 
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom