Kwanini wadada wanaotoka na mabosi wanakuwa na dharau na ukorofi?

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,492
Leo hapa tumelivuruga! Kuna mdada tulimhisi kuwa anatoka na bosi (bosi ni 50s while binti ni 20s). Sasa huyu dada full kuchelewa na kazi anafanya akijisikia. Leo tumeamua kumwambia anatukwaza! Wee moto umewaka! Kumbe kabinti kashazaa kabisa na kubwa la maadui!

Sasa hapa line manager wetu kapewa woningi leta eti kwa kosa la kutowajibika vizuri ofini na some of us tupo kwa uchunguzi.

Sasa mdada ndo kawa wa moto Sasa!

Ushauri: wadada mnaozaa na mabosi kuweni watulivu, mnaumiza hata nyasi zisizohusika!
 
😂😂 hamjui ule usemi usemao ukila na kipofu usimshike mkono..?
Nyinyi si tu mmemshika mkono bali na kichwa! Sasa tulieni mkione..

Kuna namna ya kudili na viumbe wa namna hiyo ni propaganda tu.
 
Mkubwa Kuna siku kaubinadamu kanakuingia, utakuta umejaziwa mzigo wa kazi halafu mmepangwa na bidada, cha ajabu 95% unapiga alone, lazima utawaka siku moja, kumbe ndo umerusha majiwe ikulu!!!
Huyo boss nae ni fala sana kashatekwa na huyo demu kuwa makini usije kukosa kazi kwa fitna za boss
 
Back
Top Bottom