Maisha huwa yana Siri nzito linapokuja swala la mwanaume ktk kufanikiwa ktk maisha kila mtu huzungumza la kwake ila leo nataka tuzungumzie nyota za wanawake.
Je,ni kweli kuna mwanamke nyota yake...
Wapendwa tumezoea kuona au kusikia Watoto wakisusia Chakula kwa sababu mbalimbali hadi wabembelezwe na Wazazi wao.
Je ni sahihi kwa Mwanaume kufanya hivyo kama ilivyo kwenye picha hapo chini.
Habari wanaJF,
Ndugu kupitia bandiko hili tutaandika meseji nzuri za mapendo kwa lengo la kuimarisha ndoa/mahusiano yetu.
1. Kwa jina la upendo nilikukabidhi madhabahu ya moyo wangu nawe...
Habarin wana JF,
Mimi ni kijana ambaye sijishughurishi sana na mambo ya wanawake. Niko busy na kazi zangu ila changamoto ninayokutana nayo kuna wanawake wananifuatilia na kuna wengine...
Habari wana jukwaa. Leo nimeamua kushusha uzi kwa wale play boy wote tujuane kwa sifa zetu mi naanza na zangu kama ifuatavyo 1.naeza fanya chochote ili nimpate dem 2.nikishamtumia tu hata cm yake...
Ni hivi kuna msichana anaedai ye ni bikra.nasema anadai sababu sijawah kuhakikisha,kwani kila nikimuita geto huwa hataki,anasema kuku wako mwenyeqe manati ya nini.OK nikaona isiwe kesi, sasa Jana...
Tangu wife ameshika ujauzito kwa kweli Tunda nalila kwa shida sana sometime mpaka unamaliza week 2 ndo napewa namega tena hapo nimeomba sanaa full kulalamika wakati zamani nilishazoea kula tunda...
Sababu kuu zitazofanya ndoa yenu idumu hata ule msemo wa shida na raha, mnaweza kuvumiliana ni hizi.
1. Upendo wa kweli kwa mwenza wako.
2. Kupenda kuingia kwenye ndoa na umpendaye.
3. Kupenda...
Habari wana jf ,Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35, nimejitokeza mbele ya wanawake wa jf wenye jinsia ya kike (mwanamke) nina uhitaji wa mke/mpenzi Niko tayari awe tayari kupima afya
Sifa...
Habari zenu,
Leo katika pitapita zangu nikapanda bajaj na wadada wawili, wakawa wanasogoa umbea na udaku. Mmoja akaanza kumnanga mwenzao juu ya tabia ya mumewe kumtia alama za shingoni almaarufu...
Sote tumewahi kufanya makosa na tunafahamu jinsi hisia ya ukosefu inavyouma. Hii hali ya kujisikia kwamba una hatia ni moja kati ya hisia zenye maumivu makali sana. Pamoja na ukweli huo lakini...
Wanaume wengine tupo ambao nyota zetu ni ngumu sana kuchepuka! Nimeshajaribu mara kadhaa kuchepuka lakini nilikamatwa na demu wangu hatua za awali kabisa kabla hata sijagegeda!
Na mara nyingine...
Wakuu za asubuhi, mko powa wengine muko kazini wengine kwenye harakati za biashara, wengine wako mtaani hawana kazi au ajira. Cha muhimu ni uzima tu.
Ok naomba kujuzwa kuhusu mambo ya nyota, je...
Huu msemo alisingiziwa Jongwe ndio kauanzisha, sijui kama kuna ukweli wowote. Vyovyote vile huu msemo una ukweli kwa asilimia 99.99.
Kuna matukio kadhaa yamefanya niuamini huu msemo.
1.Huku...
Habari za jioni ndugu zangu wana MMU.
Bila kupoteza muda ni kwamba nina miaka 30, mkiristo, nina elimu ya chuo, nimejiajiri mwenyewe, nina urefu wa wastani.
Hivyo basi, kutokana na hizo sifa...
Poleni na majukumu wananzengo
Mambo ambayo binafsi nakereka sana sema kwa sababu ya system nashindwa kuamua na sina pa kupereka
Wazazi kuforce vijana wao tuoe, kila mtu ana akili yake bhana...
Downers.
That's what I call the people that are constantly trying to put others down.
Watu kama hawa wako kila mahali,majumbani, mashuleni, makazini na hata mitaani. Wanawashushia wenzao ari ya...
Bila shaka tunatambua ustawi wa jamii unaanzia kwenye ngazi ya familia, kwa hiyo ni jukumu la ustawi wa jamii kuwa na sera inayoyaangazia matatizo yote yanayoikumba ngazi ya familia ili kuiweka...