Maneno yaliyofanya nikatishe mipango ya kumuoa huyu msichana

dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
373
615
Ni hivi kuna msichana anaedai ye ni bikra.nasema anadai sababu sijawah kuhakikisha,kwani kila nikimuita geto huwa hataki,anasema kuku wako mwenyeqe manati ya nini.OK nikaona isiwe kesi, sasa Jana kanitumia SMS Kali sana.anasema mi sijui kujali eti nikajifunze kwa watu waliooa au wenye wachumba ili nijue wanaishi VP na wake au wachumba zao.nilipomuuliza amejuaje kama simjali akasema hua anaangalia jinsi Dada ake anacoishi na mke wake.anaomba nimsamehe.wadau naombeni ushauri please
 
Yani dada yake ameoa?
 
Piga chini huyo
 
umeandika huku unakimbizwa?
 
Piga chini huyo
Apige chini vipi wewe umemuelewa???

Kwa uchache nilivyomuelewa,kama huyo binti ni bikra kweli zipo dalili ameshamuona huyu ni muhuni tu so hafai kukaa nae sehemu faragha,kila siku humu tunapiga kelele wale wanaume wenye nia kweli ya kuowa kuowa wanawake bikra sasa kama kijana unajiona bado lengo huna tafuta manungayembe mtaani yamejaa chungu mbovu mwaga kichupa chako wenye bikra achia wenye malengo nao.
 
Nisameheni ni stress tu ndizo zimefanya niandike hivyo, mi ni mwandishi mzuri tu
 
Ni hivi kuna msichana anaedai ye ni bikra.nasema anadai sababu sijawah kuhakikisha,kwani kila nikimuita geto huwa hataki,anasema kuku wako mwenyeqe manati ya nini.OK nikaona isiwe kesi, sasa Jana kanitumia SMS Kali sana.anasema mi sijui kujali eti nikajifunze kwa watu waliooa au wenye wachumba ili nijue wanaishi VP na wake au wachumba zao.nilipomuuliza amejuaje kama simjali akasema hua anaangalia jinsi Dada ake anacoishi na mke wake.anaomba nimsamehe.wadau naombeni ushauri please
hongera kwa kuwa na dada wa kiume
 
Jinsi ulivyoandika hapa ,nadhani huyo dada yuko sahihi kukustukia
 
Back
Top Bottom