Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,375
Sababu kuu zitazofanya ndoa yenu idumu hata ule msemo wa shida na raha, mnaweza kuvumiliana ni hizi.
1. Upendo wa kweli kwa mwenza wako.
2. Kupenda kuingia kwenye ndoa na umpendaye.
3. Kupenda kudumu kwenye ndoa na uaminifu kwa mwenza wako.
4. Kupenda kuanzisha familia na mwenza wako.
Sababu zisizo na mashikoni hizi
1. Umri umeenda.
2. Wenzangu wanafunga ndoa (mkumbo).
3. Ana hela (gari, nyumba) acha nioelewe/nimuoe.
4. Ni mzuri wa sura.
5. Ana umbo zuri (msambwanda, six pack n.k)
6. Shindikizo la familia.
7. Kupenda shamrashamra za Harusi.
8. Yeye ni maarufu
Nyingine weka hapo chini