mano kiell
Member
- Oct 11, 2020
- 15
- 26
Habarin wana JF,
Mimi ni kijana ambaye sijishughurishi sana na mambo ya wanawake. Niko busy na kazi zangu ila changamoto ninayokutana nayo kuna wanawake wananifuatilia na kuna wengine wananieleza live kwamba wananitaka kimahusiano napata shida namna ya kuwajibu pasipo kuwaumiza kwa mwenye uzoefu kidogo naomba msahada.