Mume kumtia lovebite mkewe

Mume kumtia lovebite mkewe

Rufiji dam

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
4,448
Reaction score
10,765
Habari zenu,

Leo katika pitapita zangu nikapanda bajaj na wadada wawili, wakawa wanasogoa umbea na udaku. Mmoja akaanza kumnanga mwenzao juu ya tabia ya mumewe kumtia alama za shingoni almaarufu kama lovebite ambazo ni maarufu kwa vitoto vya chuo.

Wadada wanaona kama mwenzao anadhalilishwa. Wadau je ni haki kumtia mke alama za shingoni? Hizi zinaenda sambamba na tendo la kikubwa.
 
Lovebite haiji kwa kung'atwa jamani kuna mshamba yuko hapo juu anaponda wanaume wa dar eti tunang'ata watu. Kaponzwa na neno 'bite' mbuzi huyu.

Pia yeyote hata mweusi anawekwa hii alama isipokua haitaonekana clearly kama kwa mtu mweupe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom