Kuna uhusiano gani kati ya mimba na kutopenda sex kwa wanawake

dedon

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
1,507
2,058
Tangu wife ameshika ujauzito kwa kweli Tunda nalila kwa shida sana sometime mpaka unamaliza week 2 ndo napewa namega tena hapo nimeomba sanaa full kulalamika wakati zamani nilishazoea kula tunda karibia kila siku ukipumzika yuko period au anameza dawa

naombeni experience zenu na nyie
 
Mkuu vumilia tu Miezi 9 Ya ujauzito na siku 40 za recovery sio nyingi sana.😂

Atakaevumila mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa.
 
Wenye wake wawili huwa hatuangaiki na haya.

Ngoja waje singo mke.
 
nshaongeza mpango wa kando but hamfikii wife so hata nikitoka kuula nikirudi home nikilala na wife hisia zinarud tu
Wenye wake wawili huwa hatuangaiki na haya.

Ngoja waje singo mke.
 
Hah hah hah hizo 40 zikiisha nazo mbwembwe za 6*6 sio kama za awali.

Tena aombe isiwe operesheni.

Mkuu vumilia tu Miezi 9 Ya ujauzito na siku 40 za recovery sio nyingi sana.😂

Atakaevumila mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa.
 
Sijajua ni kwanini ingawa sio wote wanakuwa hivyo,wengine kwao huwa inakuwa kinyume chake...
 
Ni mabadiliko ya hormones ndan ya mwili
Wengine vichocheo hushuka to -
Wengine vinapanda sana
 
Mwanamke anavyopata ujauzito mwili unapata mabadiliko mengi sana hasa kwenye mfumo mzima wa hormone.

Tunafahamu kabisa kwenye mwili wa binadamu hormone ndio kila kitu,hivyo, kutokana na huo ujauzito anaweza akabadirika kwa namna moja ama nyingine,kitu ambacho ni Kawaida, unless labda kuwe kuna kutokuelewana.

Mwanamke akiwa kwenye ujauzito,hata radha za vyakula zinabadilika anaanza kuchagua, anaweza kupenda kitu kimoja tu eg udogo wa pemba, anaweza akachukia perfume ambayo alikuwa anaipenda, anaweza akakupenda sana au akakuchukia.

Inshort ni kwamba asilimia kubwa ya wanawake wakiwa kwenye hilyo hali wanakuwa ni DIFFERENT VERSION ya yule uliyemzoea siku zote so jifunze mbinu mpya za kuishi naye kwa kipindi hicho,wala usimlaumu wala kugombana naye na usijaribu kumshutumu kama ana mahusiano na watu wengine utakuwa hutengezi bali unabomoa.
 
Tangu wife ameshika ujauzito kwa kweli Tunda nalila kwa shida sana sometime mpaka unamaliza week 2 ndo napewa namega tena hapo nimeomba sanaa full kulalamika wakati zamani nilishazoea kula tunda karibia kila siku ukipumzika yuko period au anameza dawa

naombeni experience zenu na nyie
Hapa ndio yule aliyetuumba na kutujua madhaifu yetu alituamrisha tuoe mke zaidi ya mmoja. Alishayajua haya!
 
Back
Top Bottom