OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Wakuu za asubuhi, mko powa wengine muko kazini wengine kwenye harakati za biashara, wengine wako mtaani hawana kazi au ajira. Cha muhimu ni uzima tu.
Ok naomba kujuzwa kuhusu mambo ya nyota, je waweza kuwa kwenye mahusiano na mwanamke then mambo yako yakafeli kabisa au yakaenda kwa kusua ila ukija muacha yule Ke mambo yanabadilika kabisa una pata mishe, michongo. Nini kinasababisha? Je ni yule Ke hakuwa na nyota au ni time (nature) haikufika muda wake.
Kwa wataalam wa nyota hii imekaaje? Na wasio wataalam pia wenye uzoefu na hizi mambo watujuze zaidi.
Sijaiweka vizuri ila mtakuwa mmenielewa.
Asubuhi njema wakuu.
Cc: