Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume wengi wamekuwa wahanga wa kunyimwa tendo kutoka kwa wapenzi wao. Imekuwa ikitumiwa kama silaha na wapenzi wao ili kufanikisha malengo yao. Mfano labda mmekosana au hukutekeleza jambo...
8 Reactions
132 Replies
12K Views
Wapenda natumai mu wazima wa afya kabisa ingawa jua linazidi kutupiga ila ndo hvyo tunatafuta rizki hivyo hatuna jinsi. NAOMBA NIENDE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA. Leo ni jumapili nimeamka zangu...
5 Reactions
40 Replies
8K Views
Weekend iliyoisha jana si tu ilikuwa nzuri bali tamu kiasi na chungu kiasi!.. nilipata figure moja hiyo mpk sahivi najiuliza ni jini yule au dubwasha gani..? Kama kuna watu duniani basi wakike...
12 Reactions
66 Replies
5K Views
Huwa simwelewi huu mchezo anacheza eti ikifika zamu yake anapokea yeye laki saba alafu kila baada ya siku tano anatakiwa atoe mchango kwenye mchezo anaiomba mimi hela ya mchezo. Nimeshampa mara...
5 Reactions
54 Replies
7K Views
Wapendwa sijawai andika uzi wowote umu ndani.. Lakini kwa yanayo nikuta imebidi niandike Familia yetu imejariwa watoto watatu Wawili ni wakike na mmoja ndiyo wakiume ambaye ni MIMI.. Baba yetu...
2 Reactions
111 Replies
8K Views
Huyu binti tumekutana kwenye mitandao ya Kijamii. Yeye mwenyewe akanipenda. Nami nlipomwangalia nikamwona ni mzuri anapendeka. Far more she is working na anaishi na wazazi wake. So pesa...
22 Reactions
106 Replies
10K Views
Wadau, Amani iwe nanyi Sote! Moja kwa moja kwenye point; Jana nilipigiwa simu kwa njia ya "WhatsApp" na rafiki yangu akinitaka tuonane kwa haraka lakini kwa bahati mbaya nilikua mbali kwa muda...
8 Reactions
122 Replies
16K Views
1. Historia ya familia ya kwanza Adam na Eve ina testify hili 2. Hata kwenye mahusiano chunguza sana..ushaur wa negative kuhusu rafiki zako, ndugu zako etc conversation hyo ya kwanza utaona...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Kumezuka mazoea kwa miaka mingi kwamba ndugu na jamaa wanataka kupata control yako kwa kusubiri ukifukwa na janga wakukomoeshe ili ujiunge nao kwenye vikundu wanavyounda hata kama havina tija...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
"Wanaume wote sawa. Wote wadanganyifu na walaghai. Hawana mapenzi ya kweli, watakuchezea na kukuacha." Nadhani hakuna mwanaume ambaye hajakutana na hizo kauli kipindi anatongoza. Maana ni kauli...
21 Reactions
42 Replies
5K Views
Hallo Katika harakati za mapenzi Kuna kutongoza na katika kutongoza kuna kukubaliwa na kukataliwa. Swali langu ni uliwahi kutongoza kwa muda gani bila mafanikio Na Kisha ukaamua kuachia ngazi Wiki...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Kisa kipo hivi jamaa anasimulia huko kwenye chanzo kimoja cha habari kwamba. " Nimeoa Mwaka huu Ndoa yangu ina miezi 3, baada ya kufunga ndoa ndugu wa mke wangu waliokuja kwenye sherehe...
6 Reactions
63 Replies
6K Views
Je, una miaka mingapi na ulishafanya mapenzi na wanawake/wanaume wangapi mpaka sasa? Binafsi mpaka sasa ndio nimetimiza miaka 25, lakini wanawake niliochakata mpaka sasa nilioweza kuwakumbuka na...
10 Reactions
84 Replies
11K Views
Utahangaika kutafuta Mali na utajiri ili vikupatie furaha. Utatafuta kazi inayolipa vizuri na iliyo na mazingira mazuri na rafiki ili upate furaha. Utatafuta mwanaume au mwanamke mzuri kwa...
15 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari!Mimi ni mwanamke wa miaka 30,Nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Najitokeza nikiwa na nia ya dhati kutafuta mume popote pale ndani ya Tanzania. Sifa ninazohitaji, Awe mkristo mwenye hofu ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
..
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Kiukweli sinaga maarafiki wanaoniongelea vibaya, Mara nyingi watu wanapenda kunijua lakini siwapi nafasi. Niko tofauti naweza piga story na mtu yoyote haimanishi ananijua au tunafahamiana. Kuwa na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi karibuni nilibahatika kupata mchumba mwenye asili ya Pemba sasa kilichonileta wadau huyu mwanamke tulikubaliana vizuri tuoane akawa anataka apajue na kwangu baada ya kumleta akashangaa...
16 Reactions
69 Replies
6K Views
Kuna wakati unaamua kuacha kuhangaika unaamua kutulia na mpenzi mmoja na kuwa muaminifu. Unakuwa committed kwake kwa kila kitu, ila sasa unakuta mpenzi uliyenae hajatulia anachepuka tu, hii inauma...
12 Reactions
52 Replies
7K Views
Heshima kwenu, Nina hali ya upweke wa hali ya juu sana umenitawala kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni, Muda wote nawaza tuu mambo ya ajabuajabu, Nina watoto watatu na mwanamke ninaeishinae na...
7 Reactions
131 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…