Weekend na minyonyo wangu!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,214
56,853
Weekend iliyoisha jana si tu ilikuwa nzuri bali tamu kiasi na chungu kiasi!.. nilipata figure moja hiyo mpk sahivi najiuliza ni jini yule au dubwasha gani..?
Kama kuna watu duniani basi wakike yule ni jitu na si mtu!.
As usual alikuja geto mara hii nilichenji kinywaji sio tena juisi kola ulikuwa uji wenye pilipili na limao nikamix na blue band bila kusahau ulikuwa na tangawizi kwa mbali! Usishangae ndo makomamanga tulivyo hiyo ndo balance diet.

Nilikuwa nimekaa na mpensi wangu na bonge la kikombe jasho mpk kwenye unyayo ghafla nikasikia hodi!.. nikakurupuka nikaenda kumwaga ule uji kwanza ili mgeni wangu asiuone nilivyomaliza nikaenda mfungulia.. asalalee laiti ningejua hata nisingejisumbua kwenda kumwaga ule uji wangu! Iliniuma sana maana kiumbe nilichokikuta kilikuwa kirefu na niliona kabisa nae pia alistahiri kunywa ule uji tu hakukuwa na haja ya kumuonea aibu kama alishindwa kuona aibu kuwa na urefu ule basi uji ule haukuwa shida kwake pia!.

Nilijipa moyo nikamkaribisha na zile skonkonko zake! Lkn kabla hajakaa akaniuliza unafua..? Nikamjibu hapana then nikamuuliza kwanini..?
Akatazama chini kila nilipokanyaga niliacha maji! Yeye alijua maji kumbe jasho la uji!! Nilimjibu navyojua mimi tu akakaa kimya!

Baadae kapika tukala,stori n.k tukacheza karata na alikuwa akinifunga changanya na ule urefu wake ni kama alikuwa akinionea tu! Kukata stori ilivyofika usiku tukalala lkn Binafsi ilikuwa ngumu maana mshipa wa mapenzi ulikuwa haulali na hapo ndipo nilipokuja kujionea mengine zaidi!
Nikamuamsha nikamuomba gemu akagoma! Madai yake ni kuwa ati mpk tufunge ndoa!! Nilishangaa sana tena sana!
Hasira zikanishika ila sikutaka mlazimisha maana alivyo tu ule urefu wake inatosha kukuambia kuwa "usiempenda kaja"..

Kinyonge nikajilaza huku nalalama taratibu hapo nimekasirika mpk mate hayamezeki! Alivyoona hivyo akanionea huruma nikasikia akisema "Leo tu!" hapo mpk nywele zikanisisimka..! Nilisimamia ukucha mtu wa watu mpk mwenyewe alifurahi.. tulivyomaliza alikuwa mwingi wa tabasam Sasa gemu ilichezwa taa ikiwa imezimwa si nikaamka kwenda kuiwasha asalalee nae alikuwa kajisahau ebhana wee nilishuhudia unyonyo huo si wa kiwango hichi!! Kukata aibu akaniambia na leo huu ndo mto wako! Si nikaguna! Ghafla nikarukiwa! Nikaulizwa unabisha..? Nikakataa kuwa sibishi kwa kutikisa kichwa huku macho yangu yakiangalia ule unyonyo ulivyo lkn nafsi ikawa kama inaniambia kataa lkn nyengine nayo inaniambia "kwa huo urefu wake na hiyo minyonyo ukikataa kwisha habari yako"

Ilibidi niutumie unyonyo wake mmoja kama mto na ulinitosha mpk nilivyoamka asubuhi nikajikuta naropoka tu "dunia hadaa walimwengu shujaa!"
Alikwenda zake na nimemubuloku na hapo gheto nasafiri mwezi na nikirudi nahama.. na sirudii tena kuita demu wa fesibuku waishie hukohuko na fesibuku zao.
 
yani nimecheka balaaa. Comedian kweli kwel
Pole..
ila watu 🙌 :D:D
Ndo watu hao!
Pole sana... Weka picha tuone...

Cc: mahondaw
Hata wazo la picha hakuna mkuu.. yupo mwengine alinifukuzisha kwenye chumba nilichopanga! Nilifanikiwa kumkwepa mwenye nyumba takribani miezi 2 akija hanikuti na si kwamba anaishi mbali ilikuwa karibu tu.. Sasa siku moja nikachukua toto moja nikaenda nayo gheto usiku tena niliimwambia kabisa asipe kelele mwenye nyumba ananidai na anajua sipo na taa nilikuwa nawasha ila mapazia mazito mwanga hautoki asije sanuka!.. ile Toto nikazama nayo tukala na kunywa as usual nikavaa mpensi wangu baada ya kuoga nikatulia,si kile kitoto kikaanza mbwembwe ati humo gheto tucheze za kujificha! Nikakubali akaanza yeye kujificha ati nimtafute ile nimefumba macho kaenda jificha,kumbe alipoenda nilikuwa nimeweka mtego wa panya si ukamnasa kwenye likidole lake la gumba! Alitoa ukelele wa ajabu! Sasa nami nikapaniki nikajua ataharibu dili huyu nikamuwahi badala nimzibe hata mdomo nami nikamshushia banzi huku nikimuambia "kelele" kwa nguvu!.. Sasa ndo nikayaboroga zaidi nikamtoa mtego likidole jekundu.. hapohapo nikajua mwenye nyumba atakuja tu maana yule dada alitoa ukelele mpk kidaka tonge kilikuwa kinaonekana.. komamanga nikaona nicheze haraka kabla hajaja mwenye nyumba nikamtuliza binti akatulia nikachukua lishuka jeupe nikatoka nje nikatulia kwenye kona.. sekunde kadhaa mwenye nyumba huyo akatoka ati anakuja kwenye gheto kuangalia lkn kama akawa na mashaka kabla hajafika vizuri nikachomoka kwenye kona huku nimejitundika lile shuka Kama mzimu na majivu usoni!.. mzee wa watu alikula kona ya hatari huku akipiga kelele lkn hata hakufika mbali akasimama nikaona Kama anatafuta kitu.. ghafla nikasikia jiwe la kichwa! Lile jiwe tu lilitosha kunipa ujembe kuwa huyu alielirusha anataka kodi yake!.. mzee akanirudia nipo nagalagala akaniambia nitakuuwa jinga wewe na kesho uhame na likitovu lako!.. hiyo kauli sikuielewa haraka lkn nilipotulia nikaelewa kumbe kipindi nimejifunika lile lishuka nilisahau kuwa limetafunwa na panya tena tobo lilikaa kwenye kitovu mzee aliona likitovu ndo maana akarudi na jiwe maana aligundua hili ni likitovu la komamanga!..

Kesho yake nikala kona na mnundu Yule binti alikula kona usiku uleule na likidole lake!
 
Hahahaa kenzy unatisha mkuu.! naona unatutoa kwenye siasa
Siasa ndo zimeshaisha mkuu wameshafanya yao na sahivi tutakoma hakuna wapinzani mule! Nahisi kabisa jamaa anajitengenezea mazingira ya umilele! Jamaa yahawajafanya fair tutanyooka na mmeshaanza kuona kwenye internet hiyo ni trela bado lipicha lenyewe..😂
 
Weekend iliyoisha jana si tu ilikuwa nzuri bali tamu kiasi na chungu kiasi!.. nilipata figure moja hiyo mpk sahivi najiuliza ni jini yule au dubwasha gani..?
Kama kuna watu duniani basi wakike yule ni jitu na si mtu!.
As usual alikuja geto mara hii nilichenji kinywaji sio tena juisi kola ulikuwa uji wenye pilipili na limao nikamix na blue band bila kusahau ulikuwa na tangawizi kwa mbali! Usishangae ndo makomamanga tulivyo hiyo ndo balance diet.

Nilikuwa nimekaa na mpensi wangu na bonge la kikombe jasho mpk kwenye unyayo ghafla nikasikia hodi!.. nikakurupuka nikaenda kumwaga ule uji kwanza ili mgeni wangu asiuone nilivyomaliza nikaenda mfungulia.. asalalee laiti ningejua hata nisingejisumbua kwenda kumwaga ule uji wangu! Iliniuma sana maana kiumbe nilichokikuta kilikuwa kirefu na niliona kabisa nae pia alistahiri kunywa ule uji tu hakukuwa na haja ya kumuonea aibu kama alishindwa kuona aibu kuwa na urefu ule basi uji ule haukuwa shida kwake pia!.

Nilijipa moyo nikamkaribisha na zile skonkonko zake! Lkn kabla hajakaa akaniuliza unafua..? Nikamjibu hapana then nikamuuliza kwanini..?
Akatazama chini kila nilipokanyaga niliacha maji! Yeye alijua maji kumbe jasho la uji!! Nilimjibu navyojua mimi tu akakaa kimya!

Baadae kapika tukala,stori n.k tukacheza karata na alikuwa akinifunga changanya na ule urefu wake ni kama alikuwa akinionea tu! Kukata stori ilivyofika usiku tukalala lkn Binafsi ilikuwa ngumu maana mshipa wa mapenzi ulikuwa haulali na hapo ndipo nilipokuja kujionea mengine zaidi!
Nikamuamsha nikamuomba gemu akagoma! Madai yake ni kuwa ati mpk tufunge ndoa!! Nilishangaa sana tena sana!
Hasira zikanishika ila sikutaka mlazimisha maana alivyo tu ule urefu wake inatosha kukuambia kuwa "usiempenda kaja"..

Kinyonge nikajilaza huku nalalama taratibu hapo nimekasirika mpk mate hayamezeki! Alivyoona hivyo akanionea huruma nikasikia akisema "Leo tu!" hapo mpk nywele zikanisisimka..! Nilisimamia ukucha mtu wa watu mpk mwenyewe alifurahi.. tulivyomaliza alikuwa mwingi wa tabasam Sasa gemu ilichezwa taa ikiwa imezimwa si nikaamka kwenda kuiwasha asalalee nae alikuwa kajisahau ebhana wee nilishuhudia unyonyo huo si wa kiwango hichi!! Kukata aibu akaniambia na leo huu ndo mto wako! Si nikaguna! Ghafla nikarukiwa! Nikaulizwa unabisha..? Nikakataa kuwa sibishi kwa kutikisa kichwa huku macho yangu yakiangalia ule unyonyo ulivyo lkn nafsi ikawa kama inaniambia kataa lkn nyengine nayo inaniambia "kwa huo urefu wake na hiyo minyonyo ukikataa kwisha habari yako"

Ilibidi niutumie unyonyo wake mmoja kama mto na ulinitosha mpk nilivyoamka asubuhi nikajikuta naropoka tu "dunia hadaa walimwengu shujaa!"
Alikwenda zake na nimemubuloku na hapo gheto nasafiri mwezi na nikirudi nahama.. na sirudii tena kuita demu wa fesibuku waishie hukohuko na fesibuku zao.
Mkuu ww una urefu wa futi ngapi au cm ngapi?

Na yeye ana urefu gani?
 
Back
Top Bottom