Kuna mdada kila siku tano ananiomba hela ya mchezo

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,880
Huwa simwelewi huu mchezo anacheza eti ikifika zamu yake anapokea yeye laki saba alafu kila baada ya siku tano anatakiwa atoe mchango kwenye mchezo anaiomba mimi hela ya mchezo. Nimeshampa mara tatu sasa ananiomba tena mara ya nne. Huu mchezo nacheza mimi au yeye? Mwisho wa siku pesa anaenda kuchukua yeye sijui kama atanipa gawio. Nimpotezee au niendelee kumpa?
 
Na wewe mbona wamwomba mchezo wake ajaja lalamika huku?
 
Back
Top Bottom