Namba 26
JF-Expert Member
- Oct 15, 2018
- 309
- 917
Naonaga kama usinichi flani we kila picha nayopost unalike tena wakati mwingine mpaka picha za miaka ya nyuma
Huku ni kuchunguzana kwa kiboya
Au wale wanapenda kushare picha zangu nazopost huo nao usnichi lazima nikublock tu kuepusha shari za mitandaoni ila ingekuwa tunaonana live ningekuchana na ungejibu ufala vikombe kadhaa ungekula.