Namba 26
JF-Expert Member
- Oct 15, 2018
- 309
- 919
Dah kuna mademu wengine wanangu sana yani dah hawanipingi kivyovyote watawapinga mabasha zao ila kwangu hawapindui.
Yani nachokubali wapo real naweza nikawa na shida hata ya kifedha nikawachalazia wao badala ya wanangu wa kiume maana wengi ma snich ,nikiwachalazia mademu watanitumia tu ila wanangu wa kiume wengine kipengele.
Hiyo siyo, kesi hasa hao mademu tumezoeana kiasi kwamba hata kutiana kwetu ni jambo la kawaida tu japo wao wana mabwana zao na mimi muda mwingine nakuwa na mademu zangu na nawatambulisha baadhi .
Sasa marafiki kama hawa wa kufa na kuzikana mnaweza mkawaoa?