Naombeni ushauri-kufika kileleni nikiwa nimelala

Chereko tena

JF-Expert Member
Dec 9, 2019
469
520
Wanabodi la malavidavi Nina tatizo ninapolala usiku huwa najikuta wazungu wametoka na kufuli kulowana,naombeni ushauri na dawa ya hi,Nina mda mrefu nasumbuliwa naombeni ushauri
 
Una tatizo ambalo kitaalamu huitwa spermatorrhea.
Ni kitendo cha kutokwa na shahawa pasipo hiyari yako.
Huwapata zaidi waliofanya masterbation kwa muda mrefu, wanaokunywa pombe na wanaovuta sigara kwa wingi.
Ushauri wangu kama unatazama picha za ngono na vitendo vya punyeto anza kuacha. Na pia fanya mazoezi ya kegel (ingia youtube) yanaweza kuwa msaada kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishindwa kuchangia kwa hoja za kunishauri pita naogopa moderators wasije Nipa adhabu,midomo michafu tunayo wote inbox pm nitaingia Bila hodi,kuweni na subra,
 
Una tatizo ambalo kitaalamu huitwa spermatorrhea.
Ni kitendo cha kutokwa na shahawa pasipo hiyari yako.
Huwapata zaidi waliofanya masterbation kwa muda mrefu, wanaokunywa pombe na wanaovuta sigara kwa wingi.
Ushauri wangu kama unatazama picha za ngono na vitendo vya punyeto anza kuacha. Na pia fanya mazoezi ya kegel (ingia youtube) yanaweza kuwa msaada kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mno,sigara natumia na pombe nashukuru kwa ushauri
 
Back
Top Bottom