Maisha bila wanawake ni sawa na bure

Shinnok

JF-Expert Member
Sep 26, 2019
236
562
Sehemu zozote ambazo idadi ya wanawake ni ndogo kuliko lazima pawe panaboa tu
Ata baa ambayo haina mademu wateja huwaga ni wachache.
Wanawake wananipa furaha sana.
 
Kweli kabisa....yaani ndio burudani yenyewe....siwaelewagi kabisa watu wanaohangaika kutafuta pesa alafu wanakuwa na mke mmoja.
 
Sehemu zozote ambazo idadi ya wanawake ni ndogo kuliko lazima pawe panaboa tu
Ata baa ambayo haina mademu wateja huwaga ni wachache.
Wanawake wananipa furaha sana.
Kabisa mkuu
Na sehemu yoyote bila kuwako mwanaume walau mmoja hakuna usalama wala amani
Hata makazini huku sisi wenye night shift tunapenda tuchanganyike😁😁😁😁😁😁
 
Loh "sisi wenye night shift Tunapenda Tuchanganyike"

😭😭😭😭
 
Wanawake utawafurahia ukikaa nao kwa akili.
Kinyume na hapo utapata tabu sana.
 
Sehemu zozote ambazo idadi ya wanawake ni ndogo kuliko lazima pawe panaboa tu
Ata baa ambayo haina mademu wateja huwaga ni wachache.
Wanawake wananipa furaha sana.
Eh waaa, tar 28 kampigie magu kura! Mnaendana kabisa hasa wakiwa weupe!
 
Back
Top Bottom