Ushuhuda usio na shaka: Wasiotumia pombe wana "kilevi" chao

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,168
103,628
Mara ya kwanza namtoa out yeye aliagiza bia mimi nikaagiza soda ya coca. Akanicheka sana akaniuliza kama situmii pombe. Baada ya kumjibu kama situmii akanihukumu, kwamba kilevi changu itakuwa chini, tusiotumia pombe tunatumia chini. Nikachukua dakika kadhaa kujitetea.

Bado napata ugumu kuhitimisha tuhuma hizi kwa sisi tusiotumia pombe,bado napungukiwa sample. Hata hivyo kwa sampuli ndogo niliyotumia kuna asilimia kubwa ya ukweli.

What is your take
 
Siyo kila asiyekunywa pombe anapenda chini, vilevile kunawanaokunywa akishalewa zinakimbilia chini,
 
Ipo ivi

Mwanamke Mlevi yaan mpenda maji, huyu anagongeka kirahisi.

Mwanaume asiyekua Mlevi huyu mara nyingi anapenda chini..kupenda chin sio maana ni malaya, anaweza penda chini kwa demu wake au akawa malaya kwelikweli.

Mwanaume Mlevi , hawa ni watu wa watu , wao wanajitahidi kupenda chin lkn wengi pafomasi yao iko puaaaa nasababu iko puaa, huishia pia kupenda chin tofauti tofauti kujaribu Kusingizia Tatizo

Pombe huaribu Ini... Ukiharibu Ini umeharibu Korodani ( wanywa pombe muda mrefu huishia kua na tupumbu tudogooooo) , ukiharibu korodani ,umepunguza Shahawa, Ukipunguza shahawa, Umepunguza Hisia , Umepunguza uwezo wa mbooo kusimama, umepunguza uwezo wa kuhimili muda mrefu kwa ujumla wana tunasema Jamaa ana tatizo la nguvu za kiume

Kwa hiyo wanaume wanywa pombe, hawa tuwaite ni watu wa watu ambao baadae husaidiwa majukum
 
😂😂😂😂 Na wale wanywa pombe Kali ili wajibust ni Kati yao?
 
Da Siasa Ime Buma sasa ni Mapenzi
Hahahaha Kweli Dunia Inamambo Asante Mungu
 
Ebu punguzeni zalau...
Naona mnatukana tu kinywaji cha msingi sana...😎😎
 
Mara ya kwanza namtoa out yeye aliagiza bia mimi nikaagiza soda ya coca. Akanicheka sana akaniuliza kama situmii pombe. Baada ya kumjibu kama situmii akanihukumu, kwamba kilevi changu itakuwa chini, tusiotumia pombe tunatumia chini. Nikachukua dakika kadhaa kujitetea.

Bado napata ugumu kuhitimisha tuhuma hizi kwa sisi tusiotumia pombe,bado napungukiwa sample. Hata hivyo kwa sampuli ndogo niliyotumia kuna asilimia kubwa ya ukweli.

What is your take
Hiyo ni kweli mkuu, tunapenda kidude.
Jioni hii nimeona mtoto mzuri nimechanganyikiwa.
Sijui kama atapona

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mara ya kwanza namtoa out yeye aliagiza bia mimi nikaagiza soda ya coca. Akanicheka sana akaniuliza kama situmii pombe. Baada ya kumjibu kama situmii akanihukumu, kwamba kilevi changu itakuwa chini, tusiotumia pombe tunatumia chini. Nikachukua dakika kadhaa kujitetea.

Bado napata ugumu kuhitimisha tuhuma hizi kwa sisi tusiotumia pombe,bado napungukiwa sample. Hata hivyo kwa sampuli ndogo niliyotumia kuna asilimia kubwa ya ukweli.

What is your take
Everybody is addicted to something...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mpole sio muongeaji kabisa sivuti sigara wala situmii kilevi chochote,lkn kwenye papuchi wanashindwa kuelewa huwa nazipata vipi yaani kila wiki demu mpya stress za nini!
 
Suala la kupenda papuchi halina uhusiano na unywaji wa pombe au kutokunywa pombe..

Mwanaume yoyote rijali, mwenye nguvu zake na afya nzuri lazima wanapenda papuchi...ila hekima au busara za mwanaume huyo ndiyo zitamfanya awe anakula papuchi moja tu, mbili, tau au zaidi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya kwanza namtoa out yeye aliagiza bia mimi nikaagiza soda ya coca. Akanicheka sana akaniuliza kama situmii pombe. Baada ya kumjibu kama situmii akanihukumu, kwamba kilevi changu itakuwa chini, tusiotumia pombe tunatumia chini. Nikachukua dakika kadhaa kujitetea.

Bado napata ugumu kuhitimisha tuhuma hizi kwa sisi tusiotumia pombe,bado napungukiwa sample. Hata hivyo kwa sampuli ndogo niliyotumia kuna asilimia kubwa ya ukweli.

What is your take
Walevi wakishalewa tungi huwa wanaondoka ja Malaya.

Hii kujifanya wasiokunywa ponbe ni malaya ni excuse tu ili ilionekana kila mtu aha matatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom