Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ningekuwa mwanamke ningekuwa nishaondoka kwenye Ulimwengu wa malavidavi. Maana ningekuwa nishazidi hata kwenye kiwango cha kuitwa makombo. Pengine ningeitwa ukoko kabisa. Lakini kwa kuwa ni...
14 Reactions
141 Replies
16K Views
Ilikuwa 08/11/2013 saa kumi na moja na robo alfajir Jaguar nilipanda gari aina ya noah iliyokuwa ikitokea GAIRO kuelekea MOROGORO MJINI.Nilianza safari yangu kuanzia kijiji cha DAKAWA na nilikuwa...
51 Reactions
104 Replies
10K Views
Nawasalimu sana wakuu! Ebanae ukipitia nyuzi zangu mbili za mwisho kuandika, nimetaja mgogoro mimi na mke wangu. Itoshe kusema nimefanikiwa sana kupitia ushauri wenu ukiwemo.....wadau...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Ebu tusaidiane, mawazo kidogo kwani wa kulaumiwa nani? Maana unaweza tongoza mdada akasema hana mwanaume yupo single hivyo hivyo na kwa wanaume. Je, utampiga au kumshitaki nani ulie mfumania au...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
[emoji1318] KUMEKUWA NA NYUZI KADHAA HUMU ZA WANAUME (SIJAJUA NI WA MKOA GANI) KULIALIA JUU YA MUSTAKABALI WAO WA UZEENI PINDI WANAPOISHIWA NGUVU, PESA NA MALI AMBAVYO VILIFANYA WAPATE HESHIMA...
13 Reactions
43 Replies
5K Views
Wadau kuna jambo moja linanishangaza baadhi ya hawa dada zetu wazuri wazuri hapa mjini ambao hawajaolewa wamekua hawana uelewa mzuri wa baadhi ya mambo kiuhalisia hata baadhi yao wakiwa wamesoma...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Wanawake:- Jumatatu - kichwa kinauma Jumanne - nilikuwa bize nimechoka Sana Jumatano - Nina blidi Alhamis - Nina blidi Ijumaa - Nina blidi Jumamosi - Nina blidi Jumapili - naumwa kiuno...
56 Reactions
173 Replies
58K Views
Aiseee Leo jua kama limewahi kuchomoza hivi . siyo mbaya mu wazimia wana MMU. Kuna wanaume wanajifanya wagumu sana kwenye mahusiano yao , yaani wao kuyapeleka peleka kibabe mahusiano ndo zao ...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Hivi wakuu, Ikatokea kumuahidi msichana kuwa utakuja funga nae pingu za maisha hapo baadae na kwa bahati mbaya au makusudi usije kufanya hivo ni kitu gani ambayo kinaweza tokea baadaye? Ova
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Iko hivi, Niko na mpenzi ambaye tumekuwa pamoja kwa muda mpaka hivi sasa. Ila sema huyu bi dada nimeshindwa kumuelewa kwa kauli yake aliyonijibu. Hivo kutokana na changamoto za ajira, nikampa...
5 Reactions
55 Replies
7K Views
Habari zenu nyote. Mimi ni msichana nakaribia miaka 34 soon. Nina maambukizi ya HIV namshukuru Mungu nipo vizuri naendelea na majukumu yangu kama kawaida .Naishi kanda ya Kaskazini Naleta ombi la...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu hii kauli nilikua nikiambiwa na marehem baba. Hivi ina maana gani, kwa sababu alikua akinambia kipindi nasoma na mimi nilikua nachukulia kawaida sana Na hata mtaani uwa naiskia sana.Hivi...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza... Kwamba dunia inatufundisha (hususan kwenye jamii ya kitanzania) ili ukubalike na wanawake wazuri(pisi kali) lazima uwe na mavumba aka shekeli. Mentality...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Nipeni mrejesho, maelezo na ushuhuda utafuatia baadae
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa Hali ninavyoiona na kusikia kwenye vyombo vya habari, sisi vijana( me) wa chin ya 1996 tunawakati mgumu sana wakuja kupata wenzi wetu wa maisha. Kwa age ya waliozaliwa 1996 kiukweli wake zetu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu naomba kupewa muongozo, Ninahitaji kumvisha Pete ya uchumba mchumba wangu ila nilihitaji kumsurprise. Naomba kujua ni mazingira gani na wanafanyaje kama ni kimvisha hiyo Pete ya Uchumba...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Nipo serious nahitaji mwanaume ambaye ana hofu ya mungu.,, mchapa kazi awe amwajiliwa au kiajiajili yote sawa, , mkristo RC, mwenye kujua nini thamani ya mwanamke,kitu kikubwa haswa AJITAMBUE ...
13 Reactions
47 Replies
15K Views
Mimi ni kijana wa ki islamu. Umri wangu ni miaka 31. Nina mke mmoja na watoto wawili. Natafuta mke wa kuoa awe mke wa pili. Kama atapatikana tutaelewana. Hakuna vigezo wala masharti. Nipo serious
4 Reactions
94 Replies
6K Views
Mara nyingi nimekuwa nikiona watu tukilalamika juu ya kupendwa na tusio wapenda. Tunapotaka ushauri wa wenzetu, baadhi yao watakwambia jifunze kumpenda mwenza wako. Je? Mambo ya kufanya ili...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Tufanye kuteta kiume (hata wakija hatujali). Siku hizi asilimia kubwa ya wanawake hawajali kuhusu uwezo wako wa kifedha, u-handsome, au misuli tuliyo nayo...bali saizi ya mashine tu...
2 Reactions
60 Replies
9K Views
Back
Top Bottom