Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

There is no better way to make a girl smile than sending her a sweet good morning text when you are miles away from her. It will make her feel very important and realize that you are thinking of...
4 Reactions
57 Replies
10K Views
Wasalaam wakuuu, Aisee huyu mwanamke kanizalia mtoto mzuri tu wa kike ana miezi miwili tu ila nikifikiria ishu ya kuoa napata wasiwasi sana maana moyo wangu haumwamini mwanamke yeyote hata...
9 Reactions
65 Replies
5K Views
Ebu tuambiane ukweli wadau mana Dunia imebadilika sana unaweza mwambia mkee wako au mumewako kuna kitu sehemu flani mfano bastola ahaahahah siki mmegombana akachukua akajilipua au akakulipua
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Vile ambavyo mabraza na watu mbalimbali walivyokuwa wanasimulia kuhusu mgegedo, hasa kusifia kwamba hakuna kitu tamu kama ile basi walikuwaga wananitamanisha sana, enzi hizo mimi bado kabisa...
23 Reactions
226 Replies
18K Views
Haya mambo ya kuchukua kuku wa kienyeji ni hatari sana. Mara moja moja huwa nasema ngoja ni check in demu wa kiswazi kuchange ladha n.k Hawa wauswa kiukweli wanajituma sana.sana si kidogo.sasa...
12 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakuu kwa Sasa watoto wanaharibika sana so Lipi ni Bora Mzazi uwe Nunda au ukubali watoto wawe friendly yaani uwadekeze wasikuogope na Dunia ya Leo wanaweza Kuharibika fasta Wazazi mliozaa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Hakuna cha salamu! Kumekuwa na hii kasumba ya kujibu maswali ya watoto wetu wanapodadisi kuhusu upatikanaji wa 'wadogo' zao, mtoto akihoji anataka mdogo wake ataambiwa “nitaenda kununua”...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Hiyo ndio ilivyo...umemaliza chuo or wateva...umepata kaz au ka ajira mambo si mabaya...faaasta utaona vijana wanaoa... Sasa mim nkajiuliza..hiv moyo wa kuoa mapema hiv wanautoa wap.mbona mim...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Mara kadhaa wazazi wamekuwa wakiwaambia watoto wao maneno mbalimbali wakati wakiwa na furaha au hasira. Ipo nguvu kubwa kwenye maneno ya kutamkiwa ambayo wazazi wengi hawaifahamu. Kwa hakika...
14 Reactions
43 Replies
10K Views
Habarini jamani, Kumekuwa na mambo mengi haswa wanaume kusahau wazazi wetu haswa wakishaowana au wakiwa na uchumba yani watu wanajisahau sana wanashindwa kujua kuwa wazazi ndo baraka kwa...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini humu ndani. Mimi ninashangaa sana wanaume wanakesha kulialia kisa kuachwa, unaanzaje kulia baada ya kuachwa na mwanamke. Amini usiamini, mwanaume hana cha kupoteza kwenye mahusiano kama...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Leo hata siwasalimii leo naenda moja kwa moja kwenye mada. Hayo maneno hapo juu sio yangu kuna mtoto wa kike miaka 13 alimwambia mama yake hivo Unajua shida inaanziaga wapi? Shida inaanziaga kwa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Nisiwachoshe Pita kwanza hapa https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1597939/ 5G902EJTFGYH Imethibitishwa mnamo 9/7/19, 10:41 AM Toa Tsh120,000.00 kwa XXXX Salio lako ni Tsh XXX Lipia...
2 Reactions
77 Replies
6K Views
Daah! kumbe nimeamini love doesn't ask why yaani shemeji yangu nimetokea kumpenda kutoka moyoni Ila sasa ndio mke wa kaka yangu ntafanyaje Nifiche hisia niendelee kuumia. Au nimwambie nijue kama...
2 Reactions
58 Replies
8K Views
Habari za jumapili, Nahema kwanza maana! Maelezo marefu ila ntajitahidi kuyafupisha. Jordan, mhusika leo ni Jordan. Huyu tulikuwa wote kombania moja 832kj Ruvu kwa miezi 3. Enzi zile jeshini ni...
14 Reactions
73 Replies
6K Views
Habari za hapa wanajamvi? Leo napenda tujadili kitu tofauti kidogo na mazoea yetu. Nacho ni hisia na maisha kwa ujumla bila ya wazazi. Umeshawahi kujiuliza ikatokea leo wazazi wako wakachukukiwa...
5 Reactions
52 Replies
14K Views
House girl alitandika kitanda cha bosi wake Kama Sehemu ya jukumu lake la kila siku. Alipomaliza akakitazama sana kile kitanda cha bosi wake akasema naweza kufa bure bila ya kulalia kitanda kama...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Tuna mtoto mmoja, tuliachana nipo shule nimemwomba amwombee ruhusa mtoto japo nikae nae kidogo nitakavyorudi likizo ntamwazisha tuition likizo ikiisha ataendelea na shule Ni mwaka sasa sijamwona...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Sababu mojawapo ni kumkosoa mwenza mbele za watu. Mkisha funga ndoa nyinyi ni mwili mmoja. Mume wako akichemka hadharani unaimeza aibu mpaka mfike chumbani ndiyo mnaongea. Mfano unajua mume wako...
27 Reactions
71 Replies
7K Views
Kuna vitu vingine huwa havimake sense kabisa mara kadhaa hivi unakuta mnaenda sehemu hata sio mbali kutoka kituo mlichoshukia na hamna kona nyingi wala nini Sasa ghafla sijui nyingine unampigia...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom