Kumuahidi msichana utamuoa na usimuoe: Je, kuna chochote kibaya kinaweza tokea?

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Hivi wakuu,

Ikatokea kumuahidi msichana kuwa utakuja funga nae pingu za maisha hapo baadae na kwa bahati mbaya au makusudi usije kufanya hivo ni kitu gani ambayo kinaweza tokea baadaye?

Ova
 
Kubwa ni USALITI....
Unafiki........
Kuvunja AHADI(jambo adhimu)....

Jayajo ni kuwa kama utaendelea kuwa MTU MWONGO na MVUNJA AHADI basi utakutana na mazito humo maofisini,urafikini,uduguni na BIASHARANI!!!



Mfuatilieni SADHGURU mtazidi kujikumbusha thamani KUNTU YA MWANAADAMU!!
 
Kuvunja ahadi ni jambo baya kucheza na hisia ya mwanamke ni laana ila sio hawa wanawake wa zama hizi ana wanaume kuanzia wa tatu na kuendelea wala hawatishiki
 
anapo kuahidi kuwa atakupa mbunye alafu anaishia kuigawa kwa mtu mwingine,, kitu gani huwa kinamtokea ??
Si wanasema ni mali yake ile
Na huwa haisomi kilometers kwa ninavyosikia
 
Ndenge Nini papaa?
Ahadi kawaida tu,unamjua mbili Abel na tabuley? Walifunga ndoa ndani ya ndege na ndege ilikaa angani 3 hours wakisheherekea,baadae mbilia Bel akamtoroka tabuley,akatoroshwa na mtoto wa raia wa Gabon Omar bongo.
Kwa kifupi ,penzi ni Siri ya daladala akishuka mtu anakaa mwingine.usiumie kwa ajili ya mapenzi,umia kwa ajili ya pesa.
 
Nadhani haitakuwa shida kama ulifanya hivyo ili upate kuzini naye,hapo utalaaniwa.ila kama ni mchimba ambaye baadaye umeona hana sifa za kuwa mke basi mwambie mapema kabisa kuliko kumchelewesha huku akiendelea kutegemea utamuo kumbe ulishabadili mawazo muda mrefu.hapo pia utastahili kubeba lawama
 
Back
Top Bottom