Victorious Creature
New Member
- Jan 27, 2016
- 3
- 0
Habari zenu nyote.
Mimi ni msichana nakaribia miaka 34 soon. Nina maambukizi ya HIV namshukuru Mungu nipo vizuri naendelea na majukumu yangu kama kawaida .Naishi kanda ya Kaskazini Naleta ombi la kumtafuta mwenza/Mume ambaye atakuwa tayari kuanzisha familia pamoja na mie.Mimi ni mwajiriwa,elimu chuo kikuu,Mkristu,mfupi na mnene wa wastani. Nahitaji mwanaume mwenye HIV status kama yangu na kama hana maambukizi basi aridhie kuishi na mimi kwa kufuata taratibu zote za kiafya (kwa sababu nimeona comments watu wanasema tunabagua wasio na maambukizi). Naomba awe Mkristu Mcha Mungu,mrefu (japo sio lazima sana)elimu ya chuo kikuu awe na shughuli yoyote halali ya kumuingizia kipato,umri uwe miaka 35-42. Tafadhali aliye tayari na ambaye yupo serious awasiliane nami kwa email yangu: victorycreature@gmail.com au pia waweza kuni PM.
NOTE:Maoni,ushauri vinakaribishwa lakini kejeli kashfa naomba viwe reserved katika post hii na pia wale wa kutoa pole niwafahamishe tu kuna ambao ni wagonjwa wako taabani vitandani nitakuwa nawadhulumu hizo pole zao. I am strong,happy and healthy.
Ahsanteni na Mungu awabariki.