UKIONA MWANAUME ANAKUJA KUKUKOPA PESA BAADA YA KUGOMBANA BASI JUA NDIYO UNAACHWA!
Uko kwenye mahusiano na mwanaume kwa muda mrefu, mara nyingi mnagombana gombana na kupatana, lakini mwanaume...
Sisi waswahili tunasema uungwana ni vitendo na salamu kwa aliye mbali na wewe ni nusu ya kuonana. Nawasalimu kwa maamkizi yetu wote watoto na wavyele
Anuani ya mada yangu iko wazi na yenye...
Ukiona mtu kakuita kwa jina lako ,kuwa makini Moto unawaka huko
Mfano unaitwa Salome
Ukiona sms imekuja inasema ,Salome!!
Jua anaetakiwa hapo ni Salome tu
Massage inaweza kutumika kumsaidia mtu kukabiliana na maumivu ya mwili (misuli mostly), relieve tension na kumfanya a-relax pia inaweza ikatumika kumsisimua mtu.
Kama nia ni kuondoa maumivu ya...
*HOFU YA NGONO ( GENOPHOBIA)
Hofu ya ngono pia huitwa "genophobia" au "erotophobia." Hii ni zaidi ya kutopenda tu au chuki. Ni hali ambayo inaweza kusababisha hofu kali au hofu wakati ujamaa wa...
Mimi sihangaiki na mwizi wangu maana huenda amedanganywa kwamba manzi yangu ipo singo, namuanzishia mpenzi wangu na kumfungashia virago kuanzia dakika hio
NB: Kama mwizi wangu ni mshkaji ua jamaa...
Kwa kifupi huwa napenda uhuru hasa ninapokuwa kwenye mahusiano! Kwenye maongezi ama chating sipendi maswali mengi mengi yasiyokuwa na tija,ama upo wapi? unafanya nini? Na nani? Kwa nini? ili...
Profesa. Laura Padilla kutoka Chuo Kikuu cha Birgham anasema kuwa na Ndugu humlinda Mtoto na hali ya kujihisi upweke, kutopendwa, kutojitambua na kuogopa. Hii haijalishi kama Dada/Kaka wa Mtoto...
Natumai hamjambo wananzengo.
Wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo...
Kutokana na vijana wengi sasa hivi wamekuwa ni wahanga wa kupiga hadi kuuwa wanawake zao kisa wivu wa mapenzi,acha niendelee kushusha nondo watu waelewe
Mwanamke anaweza akabadilika au kutulia na...
Kuna vitu ambavyo mwanadamu hawezi kuviamrisha kama usimgizi, haja kubwa inapozidi, n.k ila kuna wengine nahisi hata tamaa zao za kimwili hawawezi kuziamrisha zitulie na watazipooza hata bila...
Nimekaa nae karibu mwaka mmoja sasa, tulikua fresh tu, mambo yote ya kidunia hadi pombe sometimes wote tulikua tunakunywa tukiwa pamoja hasa hizi softies.
Ana mapenzi ya kweli na ni mzuri kweli...
Mimi ni kijana umri wa miaka kadhaa Mungu kanijaalia kazi tu ya kawaida nashukuru kwa hilo, mimi ni kijana ambaye kwenye jamii naonekana kijana mwenye heshima mpole na sifa nzuri Sana.
Shida ni...
Habari za Jumatano marafiki,
Mi nina swali tu nahitaji kusikia mawazo tofauti tofauti toka kwa wadau. Ndoto ni kitu cha kawaida tu japo inasemekana nyingine hutokea kweli.
Sasa nauliza unapo...
Habarini wana jamii forums huwa napenda sana michango yenu humu maana kuna watu wapo bright sana na wana ushauri mzuri sana
Ipo hivi, nina mpenzi wangu tuna miaka miwili sasa katika mahusiano...
Sasa nina Siku ya Tatu ( 3 ) ninaoga kwa Kutumia 'Sabuni' za kila aina ila 'harufu' Kali ya 'Mbunye' moja niliyokutana nayo hapa Juzi kati bado 'inanigomea' tu kunitoka ( kama si kuniaga ) kabisa...
Habarini wana nnzengo wa JF, natumai wote ni wazima.
Kuna jambo niwashirikishe labda mtanisaidia wakuu, haiwezekani unapiga simu ya mpenzi wako saa 6 usiku inatumika halafu akwambie alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.