Mrejesho wa kibabe, sihami JF

Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Nawasalimu sana wakuu!

Ebanae ukipitia nyuzi zangu mbili za mwisho kuandika, nimetaja mgogoro mimi na mke wangu. Itoshe kusema nimefanikiwa sana kupitia ushauri wenu ukiwemo.....wadau walisema....

A. ACHANA NAE
B. MCHUNGUZE NA KUMPA MITIHANI
C. BADILIKA WEWE

Nilipata wakati mgumu kumuacha kwa sababu nampenda sana.

Katika uzi wa mwanzo nilichukua ushauri nikavumilia nikafanyia kazi kiume, uzi wa pili nilileta baada ya kuona sijafanikiwa na zile mbinu nilizopewa Uzi wa kwanza.

Katika Uzi wa pili ambao ni wa mwisho kabla ya huu nilipewa madini mengi na wadau hapa nikazidhatiti nikachuja nikachukua za kunijenga zaidi.

Kwanza nilianza kubadilika mwenyewe nikamuonyesha tabia ambazo hajawahi ziona kwangu, nikaanza kuweka simu wazi na sms za michepuko halafu nikapiga marufuku asiwapigie (ila niliishia kuchat nao tu sikuwahi kudate na yeyote) ilimuuma balaa.

Pili, time ya kurudi home nika badilisha hata nikiwahi nakaa kidogo naondoka hata SAA 3 za usiku narudi SAA 7 usiku hapo nakuwa kwa washikaji napiga tory tu. Hii ilimfanya akonde sana.

Tatu, siku moja akaleta shit nikampa za ochebe kama mabanzi mawili, nikasepa ,alishangaa sana maana sikuwahi hata kumfinya.

Nne, sikuwa tayari kula mzigo ,kwanza tayari alikuwa na ujauzito miezi 2+ so alikuwa na moto mm nikawa nazingua, cha kumshangaza nikienda town narudi na zawadi nampa halafu hata akisema ahsante nakausha natoka zangu.

Tano, lugha YANGU ya mawasiliano kwake nikawa very harsh !!! Nikasitisha msaada wowote wa kazi nilizokuwa namsaidia ndani kwa upendo wangu.

Wakuu hahahahaha kiufupi nilivimba nikatuna kichwa kikawa cha moto kama koboko, nikakaza mwanaume sikutaka kulegeza haikumchukua muda nikaona akaanza kushuka.

Sasa sana amani imetawala mama kijacho jeuri kwisha, nimemlisha kiapo nanukuu " SIKU NIKIRUDIA NIACHE WALA USINISAMEHE" mimi kama jaji au wakili ninazo documents nimezitunza.

Nampenda sana huyu mdada na hata yeye ananipenda sana,siku namwambia leo ndo mwisho alilia akavimba macho alikaa ndani anaogopa kutoka. Mrume nikakaza hadi akaenda kwa mjumbe tupate suruhu.

Nilifika kwa mjumbe nikaona isiwe issue sana haya mambo ya ndani mtu mzima nikamwambia mjumbe pole kwa usumbufu mama turudi nyumbani.

Now tunaishi kwa furaha ,ila Niko makini sana techniques ni zikezile hadi anajishtukia sometimes! AMANI IMETAWALA HESHIMA YANGU IMECHANUA NA AFYA IMEIMALIKA SANA NA PESA YANGU NAIONA TAMU SASA.

Wasaaaalamu!
 
Whackiest

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
798
1,000
Jamaaa hufai mpaka mwezi wako.analia mpaka macho yake yanavimba huon huruma duuh

Hongera na kwa hiko.kiap hap penyewe kabis

Naona umeamua kuonyesha mapenzi yako.kwa wana Jf kwa ushauri uliopewa
 
Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
www jamaaa hufai mpaka mwezi wako.analia mpaka macho yake yanavimba huon huruma duuh

Hongera na kwa hiko.kiap hap penyewe kabis

Naona umeamua kuonyesha mapenzi yako.kwa wana Jf kwa ushauri uliopewa
Mwanzo nilikuwa naponzwa sana na huruma akilia kidogo nabembeleza hahahah this time hadi kwa mjumbe mkuu.

Kiongozi nimepitia wakati mgumu sana mke nampenda ila stability ikawa hakuna sikuwa najuwa namna ya Ku hundle! Nimeona nirudishe shukrani aisee!
 
Luv

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
1,899
2,000

Mimi hakika ukinifanyia hayo yote na Kama ninajijua sijakukosea kosa la kunifanyia hivyo. NAJIWEKA PEMBENI
 
Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Mimi hakika ukinifanyia hayo yote na Kama ninajijua sijakukosea kosa la kunifanyia hivyo. NAJIWEKA PEMBENI
Umekuta mada iko ukingoni undani wake hujajua, mm ndo nilikuwa nafanyiwa hayo usiyoyapenda ikabidi nibadilike na kubadilika kwangu sikuwa na maana mbaya maana nampenda mke wangu sikutaka tuachane !
 
Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Yeye alikuwa na makosa mengi tu na mm ndo nilikuwa wa kumuacha kabisa wewe sio yeye kuniacha, hata leo anashukuru jinsi nilivosimama kurudisha mapenzi yetu.
Mimi hakika ukinifanyia hayo yote na Kama ninajijua sijakukosea kosa la kunifanyia hivyo. NAJIWEKA PEMBENI
 
  • Thanks
Reactions: Luv

BioPsychologist

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
667
1,000
Ego na kuvimba ni muhimu sana katika mapenzi kwa upande wa wanaume,, mwanamke anatakiwa ajue una option kibao sio yeye peke ake tu!! Hawa viumbe ukijifanya father theresa watakuendesha sana!!
Na atakuendesha hata ukitaka kushuka uende toilet atakwambia jinyee....kmkmkmk
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,479
2,000
Hakuna amani hapo, sababu mkeo anaishi kwa hofu na ndio sababu mmepata utulivu.
Kimsingi ili ndoa idumu, hampaswi kutunza/kurundika matatizo na tofauti zenu. Nafikiri mnapaswa kuzungumza na kupata suluhu ya kila Jambo ama tofauti inapo tokea kati yenu.
Mfundishe mkeo atambue nafasi yake na mipaka yake kwako wewe mume wake pamoja na utii, alkadhalika nawewe itambue nafasi yako Kama mume na kikubwa mpende mke wako.
Ushauri wangu ndio huo, mindio natoka bar saizi..
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,850
2,000
Nawasalimu sana wakuu!

Ebanae ukipitia nyuzi zangu mbili za mwisho kuandika, nimetaja mgogoro mimi na mke wangu. Itoshe kusema nimefanikiwa sana kupitia ushauri wenu ukiwemo.....wadau walisema....

A. ACHANA NAE
B. MCHUNGUZE NA KUMPA MITIHANI
C. BADILIKA WEWE

Nilipata wakati mgumu kumuacha kwa sababu nampenda sana.

Katika uzi wa mwanzo nilichukua ushauri nikavumilia nikafanyia kazi kiume, uzi wa pili nilileta baada ya kuona sijafanikiwa na zile mbinu nilizopewa Uzi wa kwanza.

Katika Uzi wa pili ambao ni wa mwisho kabla ya huu nilipewa madini mengi na wadau hapa nikazidhatiti nikachuja nikachukua za kunijenga zaidi.

Kwanza nilianza kubadilika mwenyewe nikamuonyesha tabia ambazo hajawahi ziona kwangu, nikaanza kuweka simu wazi na sms za michepuko halafu nikapiga marufuku asiwapigie (ila niliishia kuchat nao tu sikuwahi kudate na yeyote) ilimuuma balaa.

Pili, time ya kurudi home nika badilisha hata nikiwahi nakaa kidogo naondoka hata SAA 3 za usiku narudi SAA 7 usiku hapo nakuwa kwa washikaji napiga tory tu. Hii ilimfanya akonde sana.

Tatu, siku moja akaleta shit nikampa za ochebe kama mabanzi mawili, nikasepa ,alishangaa sana maana sikuwahi hata kumfinya.

Nne, sikuwa tayari kula mzigo ,kwanza tayari alikuwa na ujauzito miezi 2+ so alikuwa na moto mm nikawa nazingua, cha kumshangaza nikienda town narudi na zawadi nampa halafu hata akisema ahsante nakausha natoka zangu.

Tano, lugha YANGU ya mawasiliano kwake nikawa very harsh !!! Nikasitisha msaada wowote wa kazi nilizokuwa namsaidia ndani kwa upendo wangu.

Wakuu hahahahaha kiufupi nilivimba nikatuna kichwa kikawa cha moto kama koboko, nikakaza mwanaume sikutaka kulegeza haikumchukua muda nikaona akaanza kushuka.

Sasa sana amani imetawala mama kijacho jeuri kwisha, nimemlisha kiapo nanukuu " SIKU NIKIRUDIA NIACHE WALA USINISAMEHE" mimi kama jaji au wakili ninazo documents nimezitunza.

Nampenda sana huyu mdada na hata yeye ananipenda sana,siku namwambia leo ndo mwisho alilia akavimba macho alikaa ndani anaogopa kutoka. Mrume nikakaza hadi akaenda kwa mjumbe tupate suruhu.

Nilifika kwa mjumbe nikaona isiwe issue sana haya mambo ya ndani mtu mzima nikamwambia mjumbe pole kwa usumbufu mama turudi nyumbani.

Now tunaishi kwa furaha ,ila Niko makini sana techniques ni zikezile hadi anajishtukia sometimes! AMANI IMETAWALA HESHIMA YANGU IMECHANUA NA AFYA IMEIMALIKA SANA NA PESA YANGU NAIONA TAMU SASA.

Wasaaaalamu!
Safi sana jombaa hivyo hivyo mpaka 2025...na hapo akizaa mpe gepu LA mwaka piga nyingine ajue who is the boss
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom